beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Waziri wa Afya nchini humo, Mutahi Kagwe amesema Novemba umekuwa mwezi ulioathirika zaidi tangu kuanza kwa mlipuko wa CoronaVirus mwezi Machi.
Ameeleza kuwa, maambukizi yaliyorekodiwa mwezi huo ni mara mbili ya ambayo yaliripotiwa katika miezi ya Septemba na Oktoba kwa pamoja.
Kenya imerekodi jumla ya visa 28,124 na vifo 456 mwezi wa 11 na nchi hiyo ina jumla ya maambukizi 83,316 na vifo 1,452 hadi sasa huku waliopona wakiwa 54,975.
Mamlaka zinahofia ongezeko la maambukizi kutokana na sherehe mbalimbali za kufunga mwaka.
====
Kenya's health minister Mutahi Kagwe has declared November the darkest month since the coronavirus pandemic struck the country in March.
The minister said the number of cases recorded this month has doubled those recorded in October and September combined.
In November, 28,124 cases and 456 deaths were recorded in the country, according to the ministry of health.
The total number of confirmed cases now stands at 83,316 with 1,452 deaths.
Kenyan health workers have been badly hit and have issued strike notices demanding for protective gear, better medical insurance and allowances.
The authorities fear that cases may increase during the December festivities, local media reports.
The government eased restrictions and reopened schools for final year students and the rest of the classes are set to resume in January.