Kenya imethibitisha visa vipya 28 vya Covid-19 na kufanya visa kufikia 649, pia imetangaza kifo 1

Huyo jamaa anaitwa Kigogo yaani sijui hupataje hizi taarifa, ameanika mpaka basi.
 
Nadhani imefikia mahala serikali duniani kote kuachana na hii kasumba ya kutangaza kwa public hizi takwimu, binafsi naona hazina faida ya moja kwa moja ukiachana na kutisha watu tu, watu wameshaelewa jinsi ugonjwa ulivyo, serikali zijikite kwenye kuboresha miundo mbinu kwenye sekta ya afya na pia kutafuta tiba.
 
Hatari sana hii, jameni hivi mbona Tanzania imekua hivi....hiki kirusi sio ugonjwa wa aibu, sielewi kwanini taarifa zinafichwa inabidi watu watupie videos tu.
Wakiona video wanakimbilia upande mwingine.
 
Watu wachape kazi zao kama kawaida. Tunataka taarifa ya ukweli sio kupitisha watu vichochoro.
kwahiyo kwa sasa unachukua hatua gani??au unajiachia tu mpama upate taarifa sahihi??
 
kwahiyo kwa sasa unachukua hatua gani??au unajiachia tu mpama upate taarifa sahihi??
Faida ya kuficha ukweli ni gani na wakati huu WHO inataka kujua venye mambo yako kwa mataifa mengine?
 
Faida ya kuficha ukweli ni gani na wakati huu WHO inataka kujua venye mambo yako kwa mataifa mengine?
ili ichukue hatua gani??unataka kusema WHO haiwezi kumove na mikakati yake bila data za tz???
 
Kupewa Misaada sio kusema ati government haina pesa ama uwezo apana.. nikusaidiwa na njia ingine ya kupigana na huu ugonjwa.
WHO ana msaada gani katika kupambana na huu ugonjwa???

au WHO ni kwa ajiri ya TZ peke yake!!!!
 
WHO ana msaada gani katika kupambana na huu ugonjwa???

au WHO ni kwa ajiri ya TZ peke yake!!!!
World Health Organization ni ya uzima wa mwili.. kazi yake sio kwa taifa moja pekee lakini ni kwa ulimwengu mzima..
Kama tz ilipena data yao kitambo, saa hii ata hizo vifaa za kuwapima watu mungepewa kitambo na Misaada zingine tofauti tofauti ili tz iweze kupigana na hii kitu.
 
mimi nilifikiri dawa ama kinga,kumbe vifaa vya kupimia.

halafu tukipima tukajua tuna wagonjwa milioni 8 nchini,watatoa mtihani???
 
mimi nilifikiri dawa ama kinga,kumbe vifaa vya kupimia.

halafu tukipima tukajua tuna wagonjwa milioni 8 nchini,watatoa mtihani???
Ndiyo maana nimesema zitu zingine tofauti tofauti za misaada.

Huu wakati ni kama mataifa zote ziko kwa competition na mshindi atatangazwa siku za hivi karibu..

nkt!!
 
Ndiyo maana nimesema zitu zingine tofauti tofauti za misaada.

Huu wakati ni kama mataifa zote ziko kwa competition na mshindi atatangazwa siku za hivi karibu..

nkt!!
kwa sababu ushindi unategemea point bas tukae tusubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…