Alvin A.
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 2,865
- 3,633
Reli hiyo itaanzia Nairobi kwenda Eneo la Bonde la Ufa huko mjini Naivasha na itatumika kusafirisha abiria.
Kwa mujibu wa mamlaka za Reli nchini humo, ujenzi wa awamu nyingine ya reli hiyo kwa ajili ya mizigo utafanyika hapo baadae kufuatia kuchelewa kwa marekebisho ya reli ya zamani kuelekea uganda na bandari ya nchi kavu katika eneo la Naivasha.
Kuna hofu huenda uzinduzi huo ukawa mwisho wa mradi huo mkubwa zaidi baada ya China kukataa kuufadhili.
Awamu ya pili ya ujenzi wa reli hiyo ilitarajiwa kuendelezwa hadi mpaka wa Kenya na Uganda (malaba).
Wataalamu wanautaja kuwa usafiri usioelekea kokote lakini Serikali inashikilia kuwa mradi huo mpya utakuwa na manufaa kwa makubwa.
Tofauti na uzindizi wa reli ya kutoka Mombasa hadi Nairobi, ilivvyozinduliwa kwa mbwembwe mwaka 2017, uzinduzi wa reli hii mpya haujapewa umuhimu mkubwa.
Wachambuzi wanasema Serikali inakabiliwa na wakati mgumu kuelezea faida za kiuchumi za mradi huo kwasababu baadhi ya vituo havuiina shughuli nyingi katika mkoa wa bonde la ufa.
Mpango wa kuendeleza ujenzi wa reli hiyo hadi Kisumu, kupitia ziwa Victoria, hadi Uganda umekatizwa na hatua ya China kujiondoa katika ufadhili wake.
Katika kongamano la viongozi wa bara la Afrika na China mjini mataifa ya Afrika mjini Beijing, Serikali ya ilisema itafadhi miradi iliyo na manufaa ya kiuchumi pekee.
Ujenzi wareli hiyo uligharimu dola bilioni 1.5 sawa na (euro bilioni 1.1).
Huduma ya wateja inatarajiwa kuanza wakati wowote huku ile ya mizigo ikifuatia baadae japo haija bainika inaanza lini
Uzinduzi wa reli kati Mombasa na Nairobi pia ulizua suala la faida yake kiuchumi kwa taifa la Kenya.
***Mzew wa dili anapiga miguu yote kama Ronaldo**
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] endeleeni kupigwa tu maana hamna namna mkuu anakaribia kustaafu anakula matonge makubwa makubwa
Chanzo: BBC]