Kenya immigration Namanga waiangalie upya kabisa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Naamini mabosi wao wanasoma hili.

Kwanzaa nalaani wanawake kuwaweka usiku wa manane immigration. Jambo hili limechangia sana mabasi mengi kupoteza muda na kufikalate kunakotakiwa.

Basi hilo polisi njiani wakenya ukipita umechelewa wanakutafuna na rushwaa kubwa tu.

Pia, maulizo iweje mabasii zaidi ya mawili anahudumia mtu mmoja jamanii?

Mabosi wa Namanga Kenya immigration muangalie hili kabisa naombaaa

 
Kweli hapo umenena! Lakini wanavyojenga na kubadili miundo huenda hata hili litaangaliwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…