Kenya in 2012....!!!!!!

du! wasomali ni kama waafghanistani, hawawezi kukubali aisee!
 
Labda utakuwa muungano kama wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) au Senegal na Gambia (Senegambia).....
Ni vizuri kama watakuwa na muungano wao utakaoitwa Somakenya.....
 
Labda utakuwa muungano kama wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) au Senegal na Gambia (Senegambia).....
Ni vizuri kama watakuwa na muungano wao utakaoitwa Somakenya.....
Du! hiyo ni kali
 
nadhan watakuwa wametuibia na ardhi ye2pia, 2kiendekeze hili shirikisho inakula na kwe2....
 
hakuna kitu kama hiyo, Kenya kama nchi si expansionist, ile kidogo mungu alitupa na matatizo yake, alhamdulillah tumeridhika.
 
Hivi Kenya ilienda kwa nia ya kuichukua Somalia? ache kuchochea vitu nyie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…