Kenya ina maslahi gani na huyu muuaji?

Acha kumtukuza huyo bwana wako pk km anaweza Mbona hawezi kumkamata au kumuua general kayumba nyamwasa,...
Alafu kagame kwa tz Hana ubavu wowote Mara zote alizojaribu kushindana na sisi tumemtoa kapa kuanzia Mapinduzi ya Burundi hadi m23 kote tumembuluza.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu,Kagame ni fala tu kwa Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa yenyewe ya Nation media ni ya mwaka wa 2012. Miaka saba baadaye Felicen Kabuga bado hajapatikana, na bado mnasema yupo Kenya.
 
Wewe ni mkenya halafu huijui Kenya pole sana mkuu,Kagame anajua fika kuwa Kabuga yupo Nairobi lakini hawezi kumgusa,nisiongee mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cheza na vyote kijeshi lakini usicheze na Tanzania kwa East and Central Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huyo jamaa aliwahi kuishi hapo Kenya miaka ya zamani na baadae alikuja kutoweka,alikua anamiliki majengo hapo Nairobi(lavington) akawa anakula rent baadae akaja kushtukiwa akakimbia Kenya na yale majengo yalitaifishwa/freeze na serikali ya Kenya


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
NAN KA KWAMBIA HAYO TZ SIO NCH YA KIBWEGE BWEGE KIJESHI HAMUWEZ KUJUA UNDANI WA MAJESHI YETU YOTE SISI NDIO WALIMU
 

Nakumbuka Kenya walishawahi kuvunja mahusiano ya kibalozi na Rwanda mwaka 1998 baada ya Kagame kutuma vijana wake hapo Nairobi na wakamuua Seth aliyekua waziri wa zamani wa Mambo ya ndani huko Rwanda.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
This information is outdated . Alfred mutua was government spokesman in the Kibaki government and I don't think if that guy is in Kenya anymore.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This information is outdated . Alfred mutua was government spokesman in the Kibaki government and I don't think if that guy is in Kenya anymore.

Sent using Jamii Forums mobile app
How can his whereabouts become exposed?
Do you think that the Kenyan government would have pled harbouring him?
Alfred Mutua as the government spokesman should not have carried out the secret of the government he served .
It is an outdated information yes,Do you know his whereabouts?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…