Kenya ina maslahi gani na huyu muuaji?

Ni Kikwete Na Siyo Watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tulia wewe kama hela yako ya michango ya mifuko ya hifadhi ya jamii imeliwa na CCM mpelekee hizo stress zako polepole pale Lumumba.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ishu ya Kabuga ni ya miaka mingi sana. Kwamba amefichwa Kenya siri sana. Muulize Zackayo Cheruyoti wakati huo akiwa kwenye siasa miaka ya Tisini kwenye Wizara ya usalama alishutumiwa sana kushiriki kumficha Kabuga.

Uwepo wa Kabuga Kenya umesababisha mauaji ya Watu kadhaa waliotaka kutoa siri za uwepo wake.

Nakumbuka kwenye mwaka 1994/95 kuna Mwanafunzi mmoja wa Nairobi University alikuwa amost ajue alipo Kabuga (offcause kulitolewa dau) akaelza Watu, haukupita muda akauwawa.

Sidhani kama yupo nje ya Kenya. Mbona watuhumiwa wengi iko wazi wapo Nchi nyingine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kanaswa baada ya miaka 26, hiyo ni miaki mingi sana bana. Alafu bahati yake mbaya amenaswa akiwa amekula chumvi na juu yake ana matatizo tele ya kiafya. Nilisikia jirani zake wakihojiwa kwa France24 na walisema kwamba alikuwa jamaa mpole sana, ila hakuwa anaweza hata kufungua mlango wake bila usaidizi. Siku za mwizi ni arobaini, you can ran but you can't hide. Dedication kwake Felicien Kabuga, najua baada ya kuishi Kabete, Kiambu kwa muda mrefu lazima atakuwa anaelewa kisapere. [emoji1] Kiiga- Gacathi Wa Thuo. Muiruuuriiiii! [emoji1] Cc. MK254
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…