Kenya is losing on its stock market as for Tanzania is doing better and becoming strong(2017)

Nimeenda kufanya shopping kariakoo, nimetafuta bidhaa "made in tanzania" nimekumbana na mbilimbi, tomato sauce, chili sauce na ubuyu😀
Wewe hizo chili source na Tomato na ubuyu kariakoo umezipata sehemu gani?
Don't gossip,
Make some meaningful conversions
 
Ukweli nikwamba stock exchange ya TZ inakuwa kwa kasi. Nasababu unazotoa nitofauti sana na unazotoa. Achakujitetea.
 
Wewe hizo chili source na Tomato na ubuyu kariakoo umezipata sehemu gani?
Don't gossip,
Make some meaningful conversions
Wewe sio mshirika wa "chips yai" kwa hiyo huwezi kunielewa!

Kuna brand ya kanga "made in tanzania" inamaandishi "mtaa wa pili mtanikoma"
 
Hisa za vodacom zimeboost[emoji23] [emoji23]
Mkuu vodacom hawajawa fully registered kwenye DSE. Google kama utawaona. Mimi ni mnunuzi sana wa hisa so i very well know. Kiukweli kwa TZ stock exchange ni biashara kubwa sana kiasi kwamba wakitangaza hata bond kama unapesa za madafu uto pata.
 
kwa swala la industrialization nampa Magu heko sana...wakati wa kutegema kilimo na tourism pekee yake umekwisha..sasa muongeze tech sector na infrastructure..mna baraka nyingi sana
wakenya wachache sana wenye akili ka zako, mana wengi wanaokujaga humu ni mabashite, uwage unawapa tuition
 
Wewe ni mmoja ya wale watanzania ambao bado mnaendesha sasa. Nitaweka viwanda vilivyo jengwa awamu ya Magufuli kwa kila comment utayokuwa unaweka.
Kiluwa steel. Largest iron and steel industry in East and Central Africa. Kiwanda kinaurefu wa kilometer moja (1km)na reli ya treni ya kilometer 1.2 km.. Kinatengeneza nondo na aina nyingine za chuma. Pia kinatumia coal kuzalisha umeme nakuyeyusha Chuma .
Nina maana kwamba tunajisifia na kumsifia magufuli na sera yake ya viwanda lakini nimetafuta bidhaa zilizozalishwa/kutengenezwa kwenye viwanda vya tanzania nimekosa!
Sasa hivi viwanda wanavyovipa promo ni viwanda gani?
 
Weaaaaaak weak weak analysis!

You got the image from this article : The best and worst performing African currencies of 2016 , which was discussing African currency performance for 2016. The graph provided no discussion as to the factors that led to the shrinking of those stock exchange (in % terms and not in overall market capitalization ). Mind you all the stock exchanges mentioned there that shrunk dwarf the DSE so badly sitaki kuaibisha majirani ovyo.
Meantime a cursory glance at the listed securities on the DSE and close to half are kenyan!!!!

Weak weaaaak analysis!!
 
Nina maana kwamba tunajisifia na kumsifia magufuli na sera yake ya viwanda lakini nimetafuta bidhaa zilizozalishwa/kutengenezwa kwenye viwanda vya tanzania nimekosa!
Sasa hivi viwanda wanavyovipa promo ni viwanda gani?
Kwa hivyo mtu mkubwa kama wewe unaona kiwanda cha ku-process tomato au chilli source sio kiwanda? Hau haujui miaka mingi iliyopita tulikuwa tuna import tu bidhaa kama hizo? Pili ulitegemea ukute hardware store ya nondo pale kariakoo? Je hukuona bidhaa za plastic au marumaru(tiles) zinazo zalishwa Tanzania? Hiyo mifano michache sana. Kwako wewe yaonesha bidhaa za viwandani ni nguo, electronic devices, na toys from China!! Hukuona Electric cables, hukuona gypsum construction materials made in TZ. Hukuona madawa ya binadamu, wanyama na ya mimea yaliyozalishwa viwanda vya hapa TZ? Hivyo ni vichache tu but vipo vingi sana made in TZ ambavyo zamani tulikuwa tuna import vyote. Mkuu hacha kufikiria kama mtoto au kufikiria kiushabiki wa vyama vya siasa. Mkataa kwao mtumwa.
 
Kiwanda cha Goodwill Ceramic Tiles. Kiwanda cha kutengeneza vigae.Largest tiles industry in East and Central Africa pia kinaurefu wa Kilometer 1 na bado kinapanuliwa. Kiwanda kinazalisha umeme wake kwakutumia gesi. Had I sasa kimesha ajili jumla ya watu zaidi ya 1,500.
 
Uwe unatupia namna hiyo. Tutaufuta msamiati wa chema chajiuza.

Anyway hongereni kwa kuua TAMCO na kuanzisha power tiller assembly
 
Na kadri unavyozidi kupanua..........?

By tibaijuka

Tiles hizi zinazowaangusha kina kanumba?
Au unamaanisha nini mkuu?
 
DABAGA.
Kupenda ni swala binafsi.

Waya za umeme za kichina ndio zinajunguza nyumba kwa wingi sana aiku hizi kutokana na ubora hafifu!

Kama una caliper kapime hizo waya uone kama utapata kipimo kilichoandikwa.
 
Nitajie at least 6 stock exchange ambazo niza Kenya TZ zaidi ya KQ
 
Mkuu vodacom hawajawa fully registered kwenye DSE. Google kama utawaona. Mimi ni mnunuzi sana wa hisa so i very well know. Kiukweli kwa TZ stock exchange ni biashara kubwa sana kiasi kwamba wakitangaza hata bond kama unapesa za madafu uto pata.
Hivi Bonds zinanunuliwa na maskini au hao wenye pesa madafu?

Navyojua bonds hununuliwa na matajiri wakubwa na financial institutions kama banks n.k
 
Nitajie at least 6 stock exchange ambazo niza Kenya TZ zaidi ya KQ
Jubilee Holdings , KCB, Nation media, EABL, Precision (ambacho karibu nusu ni KQ), Uchumi supermarket.
Mimi sina uhakika na listed companies za kibongo ndani ya NSE, labda unipe darasa
 
Na kadri unavyozidi kupanua..........?

By tibaijuka
Kiwanda chakutengeneza cement kuzalisha tonne million 6 kwa mwaka. Kikubwa Africa Mashariki na kati. 70% export and 30% domestic use. Ujenzi hadikukamilika uta gharimu $1.2billion. Naujenzi umesha anza. To be the largest in East and Central. Kitatumika kujenga silk road. Kipo chini ya SINOC
 
Jubilee Holdings , KCB, Nation media, EABL, Precision (ambacho karibu nusu ni KQ), Uchumi supermarket.
Mimi sina uhakika na listed companies za kibongo ndani ya NSE, labda unipe darasa
Aisee precision air au precision ipi?
 
eti largest in? umeskia SAJ Ceramics na EADL?
Sio nimesikia Lete hapa picha zakiwanda tuzame YouTube. Pia kiwe nikiwandavcha vigae. Usitaje initials za kiwanda tupe full names.Kwa taarifa yako Twyford wapo nchini wamesha anza pia ujenzi wakiwnda cha vigae yani tiles. Nikikubwa kuliko hata cha Kenya. Achamaneno weka picha tuingie YouTube. Cha Goodwill andika uzinduzi wakiwanda chavigae utamuona Magufuli ingia YouTube. Tule chako. Twyford hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…