Kenya is more dark at night compared to Tanzania..

ata mozambique naona inawashinda madot ndogo ndogo kwani matown zenu ndogo
 
Tanzagiza 1350MW
Kenya 2500MW
Case closed
Ogopa technology...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Sio mimi ni satellite...Hiyo nisawa nakuwa na pesa nyingi kwenye benki bila nyumba...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
ata mozambique naona inawashinda madot ndogo ndogo kwani matown zenu ndogo
Hatujaongelea Mozambique...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Usiamishe Magoli...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Itaje Kunya land..
 
So you never did MAP READING in geography studies..??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Kweli tupo na zero brain...!!πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wako na kiswahili kibovu kama Kenya ilivyokuwa dark East Africa...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
ukikutanisha hizo dots zote ndogo ndogo ata haitafikia ya western kenya pekee
Unazikutanisha umeambiwa hizo ni gari...??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Zero brain in the making...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Hii inawahusu ....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mungu wangu!

Bangi haipasi kuvutwa pamoja na mbegu. Waah, hii hapa ata si ujinga...ni kichaa! [emoji23][emoji23][emoji23]

Nadhani tulishafunga mjadala kitambo kidogo.
 
dot tudogo dogo ata hauna aibu kwani ni moto ya wachawi
Tunaongelea kuwa Kenya is more dark compared to Tanzania..πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Power is not evenly distributed...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
I can see you are obsessed with Kenya, congratulations for following up to Nairaland.

Sent using Jamii Forums mobile app
The fact is that am a member in Nairaland...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Nahuko naona mumeweka mgomo...Battle imewashika pabaya kama ya Dar...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mungu wangu!

Bangi haipasi kuvutwa pamoja na mbegu. Waah, hii hapa ata si ujinga...ni kichaa! [emoji23][emoji23][emoji23]

Nadhani tulishafunga mjadala kitambo kidogo.
Who own the thread...??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£Fungua yako alafu ufunge mjadala...Do you have a latest image other than this.??πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Yenye ilichukuliwa na satellite..?? πŸ‘‡πŸ‘‡Ukiwa nayo ikaonyesha Kenya is not dark compred to Tanzania nafunga mjadala...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…