Kenya is more dark at night compared to Tanzania..

The word is darker!
Kenya is darker at night compared to Tanzania...
 
Nimeona kilaza Fulani akijaribu kusema eti Dar INA population kubwa kuliko Nai. Sasa Mombasa na population ya 1milliin kwenye hiyo ramani inaonyesha wazi kuwa ni brighter than Dar ilio na population kubwa kuliko hata Nai. Je nitakuwa nimekosea kusema kuwa Dar's residents are not well connected to electricity?
 
Nimeona kilaza Fulani akijaribu kusema eti Dar INA population kubwa kuliko Nai. Sasa Mombasa na population ya 1milliin kwenye hiyo ramani inaonyesha wazi kuwa ni brighter than Dar ilio na population kubwa kuliko hata Nai. Je nitakuwa nimekosea kusema kuwa Dar's residents are not well connected to electricity?
 
Wewe una macho kweli!! ki dot cha Msa kina chuana na Tanga! DAR imesha washinda mpaka mmeikimbia kwanini bado mnahitaja taja. Kitu kikukushinda achana nacho, nawapa pongezi mmejiongeza maana mlikua mnaaibika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine watakurupuka kuna waKenya kwenye U.S Agency for International Development ambao walipika deta na kuionea tanzaGIZA

[emoji23][emoji23][emoji23] watu wa kusikitisha sana.
 
Vilaza kunani? [emoji23][emoji23][emoji23]
mmebanwa midomo au vidole? Hamna anayepinga takwimu za umeme?

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo report inamapungufu mengi sana.. ila hapa siyo sehemu yake. Shida iko pale pale Kenya is a dark country. Soma hiyoooo View attachment 988619

Sent using Jamii Forums mobile app
Hey my friend, let me give you free education since it seems like your teachers didn't help you. We observe images and read writings so you can't post a map distribution and write below it ati "soma hapa" when instead it should be " angalia hapa". Thank me later.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vilaza Labda hajakuelewa. Msamehe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Since you are somewhere in Korogocho i wont blame you! "Soma hiyoo" is a trending phrase in Dar, its used to alert slow people to see things the way they are... it has done me good here, i just made you alert hence mission accomplished [emoji1] SOMA HIYOOOO

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…