Kenya is so beatiful

daviskeem

Member
Joined
Mar 2, 2017
Posts
17
Reaction score
18
after watching this video I am the happiest kenyan ever, for God gave us the most beautiful place on earth,
I think no words can describe, GOD LOVES KENYA, GOD BLESS KENYA
checkout this video.
 
Kweli Kenya is beautiful. Our City is Thee Most Beautiful in Africa.
 
Yaani nyie kwa kujifariji na ujinga, yaani wakenya wanatamani Africa yote ingekuwa Kenya. Shame
 
Yaani nyie kwa kujifariji na ujinga, yaani wakenya wanatamani Africa yote ingekuwa Kenya. Shame

Nini imekuleta kwa thread.... Bangi enye unakula lazima ni ya graveyard. You don't have to comment. Keep your opinions to your sorry self.
 
You are most beautiful. Geneva of Africa
 
after watching this video I am the happiest kenyan ever, for God gave us the most beautiful place on earth,
I think no words can describe, GOD LOVES KENYA, GOD BLESS KENYA
checkout this video.
I love the song....
 
Naskia mna eneo kubwa ambalo ni jangwa, Nasikia mnatamani mlima Kilimanjaro uwe wenu. Nasikia .............!
 
Naskia mna eneo kubwa ambalo ni jangwa, Nasikia mnatamani mlima Kilimanjaro uwe wenu. Nasikia .............!
endelea kuskia, mmbea ww. still Kenya beats you in everything in matters development.
 
naona nyang'au wanasifia nchi yao[emoji23].Wa kei wengi wenu muna roho mbayaaaa.
 
Nadhani ujumbe wa mada unafaa kutafsiriwa kwa lugha ya kiswahili.Sitaki kuamini kuwa mkenya akitaja wakenya wenzake maarufu inakuwa ni issue!
 
naona nyang'au wanasifia nchi yao[emoji23].Wa kei wengi wenu muna roho mbayaaaa.
Ni kweli Wakenya wana roho mbaya tena sana, lakini Watanzania ni wanafiki na waoga sana
 
endelea kuskia, mmbea ww. still Kenya beats you in everything in matters development.
Hahahaaaaa siku mkiwa na bus stand (kubwa kama ubungo) ndio tutajua mko vyema ....mabasi husimama kwa ofia zao ndio watu hupandia humo..hovyoooo
 
Nilijua Kenya ni msichana. Kumbe in nchi. "Chema chajiuza kibaya chajitembeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…