Kenya is the sixth most competitive country in Sub-Saharan African, according to the Global Competitiveness Report 2019.

Kumbe source ni
Kenyan Wall Street!!!?

OK Ahsante.
 
Kujisifu hakuondoi umasikini wenu. Nyie ni poorest and corrupt nation tu. Fanyeni kazi.
 
Kujisifia ujinga wakati unapewa misaada ya chakula tena mchele wa plastic karne hii ni ujinga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ujamaa Umefanya wananchi wetu wana umoja, wanamiliki ardhi, hakuna njaa kama huko, hatupewi misaada ya chakula karne hii,
Hatuna ukabila πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Pia umefanya watu wakawa na tamaa ya kuwala albino?
 
Unamiliki ardhi au umekodi?[emoji1787][emoji1787]
Ujamaa Umefanya wananchi wetu wana umoja, wanamiliki ardhi, hakuna njaa kama huko, hatupewi misaada ya chakula karne hii,
Hatuna ukabila [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tofauti yangu na yako wewe Unatumia makwapa kufikiria πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Thibitisha kuwa tunakula.
Nyie bana,mwakaanga nyama ya binadam na kuila kwa mihogo ya msitu! Io ni laaana kubwa ndugu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…