Kenya isilegeze kamba kwenye kuban Watanzania

Kenya isilegeze kamba kwenye kuban Watanzania

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Kenya isikubali Watanzania waje huku kutuongezea corona. Hawa Watanzania wanadanganya eti hawana corona lakini ni dhahiri shahiri kuwa wao wana corona na wanakufa kwa wingi tu. Kenya isiogope hasira za mkizi kutoka kwa Watanzania. Afya ya Wakenya ipewe kipaumbele.
 
Kenyans are comforting themselves, they are dealing with difficult feelings by utilizing what are known as mental mechanisms in order to protect themselves from feelings of anxiety, threats to self-esteem, and things that they don't want to think about or deal with. MK254 came here with denial and sublimation types of mental mechanisms, now this guy Tony254 comes here with “Rationalization” type of mental mechanism (sizitaki mbichi hizi) in order to prevent anxiety and protect self-esteem and self-concept.

Rationalization is a mental mechanism that involves explaining an unacceptable behavior or feeling in a rational or logical manner, avoiding the true reasons for the behavior. For example, a person who is turned down for a date might rationalize the situation by saying they were not attracted to the other person anyway.

When confronted by success or failure, Kenyans tend to attribute achievement to their own qualities and skills while failures are blamed on other people or outside forces.
 
Utapiamlo wa akili ni tatizo kubwa kenya,

Ligi kuu ya Tanzania ilirudi kitambo tena serikali iliruhusu mashabiki na ligi imeisha na hatujaona hizi propaganda ulizoandika hapa,

Tanzania’s Premier League resumes after suspension due to COVID-19

Vyuo na kidato cha sita vilifunguliwa kitambo hadi sasa kidato cha sita walishafanya mitihani yao na wameshamaliza pia vyuo sasa hivi wanakaribia kumaliza mitihani yao wewe endelea kupiga mushene,

Vyuo vikuu, michezo, ‘Form six’ kufunguliwa Juni 1

Pia shule za msingi na sekondari walishafungua shule za wanaendelea na masomo kama kawaida na wazazi wanaruhusu watoto wao kwenda shule,

Nukta | Shule za msingi, sekondari kufunguliwa Juni 29

Sasa wewe unafaidika na nini kueneza hizi uwongo humu. Je, ni ile hali ya kenya kuiogopa Tanzania?

Kwa sababu nikikuambia uthibitishe vyote ulivyoandika hapa hakika hutowezi.
 
Tony254,

It simple kama mnataka kujua tz wanadanganya au hawadanganyi. Fanyenj hivi..fungueni shule zote kuanzia nursery upili na vyuo kama tz walivofanya then ruhusuni michezo yote iendelee n.k muone baada ya siku 14 kama kutakua na taifa linaloitwa kenya. Tz wana miez 4 sasa toka waruhusu vyote hivyo na hujawah kusikia maiti zinazagaa barabarani kama mlivokuwa mnatumiwa na mabwana wwnu wazungu kuitangazia dunia.

Juzi ligi kuu ya tz imemalizika tunawarudisha wakenya wenzenu kwenu waliokuwepo wanachezea kwetu. Mnajua golikeeper wa harembee stars yenu alikuwepo huku pia yupo star kahata na wengine. Watafuteni watawaambia tz ilovyo ila tumsiwaambukize makorona yenu bado tunawahitaji. Kenya mlipokosea ni kudharau kuwa kuna Mungu. Sayansi bila Mungu ni ziro. Sisi tumewazid hapo na hata kama hamtaki huo ndio ukweli.
 
Na badoooo, mtaruka ruka sana kama maharage yanapokaribia kuiva. Dadeeki!

Msipate shida, mikopo ya Corona mshapata jipangeni jinsi ya kulipa deni, hofu ya Corona imewatawala na itawamaliza! Mgeukieni Mungu, anzeni na tohara mumrudie Bwana wa Majeshi mtapona!

Huu muda mnaotumia kuwasimanga Watz mtaujutia.

Tanzania rahaaaaaaa jirani toka dirishani kaa mezani upange yako!
 
Sisi waTz ni wapole sana, waje tu. sisi ndio tuliotakiwa kulalamika kwasabab ya kutuzuia kwenda kwao, ila wao ndo wanalamika very funny. waendelee tu kukaza na kufunga kabisa mipaka yao.
 
Kenya isikubali Watanzania waje huku kutuongezea corona. Hawa Watanzania wanadanganya eti hawana corona lakini ni dhahiri shahiri kuwa wao wana corona na wanakufa kwa wingi tu. Kenya isiogope hasira za mkizi kutoka kwa Watanzania. Afya ya Wakenya ipewe kipaumbele.
hatuna Corona,but its human nature we all gonna die someday
 
sisi waTz ni wapole sana, waje tu. sisi ndio tuliotakiwa kulalamika kwasabab ya kutuzuia kwenda kwao, ila wao ndo wanalamika very funny. waendelee tu kukaza na kufunga kabisa mipaka yao
Na badoooo, mtaruka ruka sana kama maharage yanapokaribia kuiva... Dadeeki!
Msipate shida, mikopo ya Corona mshapata jipangeni jinsi ya kulipa deni, hofu ya Corona imewatawala na itawamaliza! Mgeukieni Mungu, anzeni na tohara mumrudie Bwana wa Majeshi mtapona!

Huu muda mnaotumia kuwasimanga Watz mtaujutia.
Tanzania rahaaaaaaa jirani toka dirishani kaa mezani upange yako!
Utagundua kuwa fahari wawili wanapopigana sisi nyasi ndio huumia.
 
It simple kama mnataka kujua tz wanadanganya au hawadanganyi. Fanyenj hivi, fungueni shule zote kuanzia nursery upili na vyuo kama tz walivofanya then ruhusuni michezo yote iendelee n.k muone baada ya siku 14 kama kutakua na taifa linaloitwa kenya. Tz wana miez 4 sasa toka waruhusu vyote hivyo na hujawah kusikia maiti zinazagaa barabarani kama mlivokuwa mnatumiwa na mabwana wenu wazungu kuitangazia dunia.

Juzi ligi kuu ya tz imemalizika tunawarudisha wakenya wenzenu kwenu waliokuwepo wanachezea kwetu. Mnajua golikeeper wa harembee stars yenu alikuwepo huku pia yupo star kahata na wengine. Watafuteni watawaambia tz ilovyo ila tumsiwaambukize makorona yenu bado tunawahitaji. Kenya mlipokosea ni kudharau kuwa kuna Mungu. Sayansi bila Mungu ni ziro. Sisi tumewazid hapo na hata kama hamtaki huo ndio ukweli.
Tafuta mtu mwingine wa kudanganya. Mimi sidanganyiki virahisi. Nchi ya kishenzi sana hii. Eti mnasema hamna corona kwa miezi minne sasa. Upuuzi mtupu.
 
Sisi ndio tuliowapiga kufuli, machsria aliwaambia safari zitaanza immediately, sasa akawaoneshe hiyo immediately alipoiweka

Wenye Corona wanaishi hivi? Hahaha

Sisi hatuwataki huku. Bakini huko na corona yenu mnayoificha. Afya ya Wakenya ni muhimu kushinda urafiki wetu feki. Tanzania na Kenya huwa tunajifanya marafiki ila hatupendani. Wacha kila mtu akae kwao.
 
Wakenya wanatuhitaji sisi watanzania katika kuendesha maisha yao kuliko sisi Watanzania tunavyowahitaji ninyi taifa lililotopea kiukabila///mtakufa njaa msituzingue
Njaa ni nyinyi mnaokula kinyesi
 
Back
Top Bottom