Kenya isilegeze kamba kwenye kuban Watanzania

Why are you crying my friend...….?.....ndio hatuna corona.....hutaki……?......watoto wetu wapo shule…..muda sasa……...wa kwenyu wapo shule…..?.....why...….?....
mfano mdogo tu kwanza...….
Nyimbo nzuri saana [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sisi hatuwataki huku. Bakini huko na corona yenu mnayoificha. Afya ya Wakenya ni muhimu kushinda urafiki wetu feki. Tanzania na Kenya huwa tunajifanya marafiki ila hatupendani. Wacha kila mtu akae kwao.
Nani anaewataka sasa?

Sisi tuliwafukuza viongozi wenu wakiwa angani hata kabla ya kuvuka Arusha, immediately tukawavutia waya huko huko mawinguni warudi walikotoka

Hamkukoma mkataka kuleta mikorona yenu kwa KQ, tukawapiga pini hata kabla hamjawasha maskrepa yenu, sasa asiemtaka mwenzie nani kati yetu na ninyi?

Kaeni kwenu hatuwataki jamani
Kaeni na macorona yenu huko.
 
Unawaona ww, unataka kulinganisha Tz na Ky, huko si ndo mnadondoka kama kumbikumbi. Njoo ujionee usikae ku assume.
Israel itself is taking precautions and we all Clearly know it's history Sasa Tanzania ni ujinga na upumbavu tupu ndio mumejazaa muwache kujifanya kama mko special watu wanakufa na mnaficha
 
Wewe bana acha mihemko.

Ni jukumu la Tanzania kuithibitishia kenya kwamba yenyewe haina corona!
 
Watanzania huwa mna hasira nyingi sijui kwa nini. Ndio maana mlikuwa ranked the second most unhappy country in the world. Kuishi katika nchi inayoongozwa na dikteta ni kazi ngumu sana aisee.

Corona ndio imesababisha hasira yote hii baada ya kuona wanatengwa na dunia, sasa Kenya tu ndio ilikua inawabeba ila nayo imewatema.
 
Corona ndio imesababisha hasira yote hii baada ya kuona wanatengwa na dunia, sasa Kenya tu ndio ilikua inawabeba ila nayo imewatema.
[emoji38][emoji38][emoji38]ukweli hatutaki kuwaambukiza corona. Sijui mnatutakia nini[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Waswahili wafukuzwe tu nchini...wamejaaa deportivo la koronaaaa!😂
 
Wewe bana acha mihemko.

Ni jukumu la tz kuithibitishia kenya kwamba yenyewe haina corona!!!!!

Ni jukumu la hawa vichaa tuliowapa ofisi zetu kuielezea international community kwamba Watanzania hawana korona kwa "vidhibitisho"!

Ni jukumu letu kuwadhibitishia walimwengu kua sisi ni salama..na sio jukumu lao!

Hivi wewe mkichaa unajua dunia na geopolitics zinavyofanya kazi?

Samaki wa Mwanza waliokua wanaenda UK kipindi kile yule mchunguzi aliposema ni samaki wabovu wasiokua na hadhi ya kuliwa wanadamu ilipotoka,ni jukumu la serikali ya Tanzania na Kikwete kwenda UK na kuwahakikishia Waingereza kwamba ni salama kwa evidence ili waendelee ku-import kutoka kwetu.

Huo ni mfano mmoja.

Foreign interest ikiwa na doubt na kitu cha huduma au lolote kutoka kwako,wewe mwenyeji ni wajibu wako kujibu hoja zake na kumhakikishia doubts zake sio sawa,ila ni kwa "evidence" na sio maneno ya jitu linaitwa Abbas or something.
 
Tony254,

China kitovu Cha covid na USA ambayo ndio inaongoza Hadi leo wamewaruhusu, yaan dunia nzima inacheka[emoji3][emoji3][emoji3]
Halafu wanasema tz inakorona Ambapo hatujafikia hata 0.0005 ya China Wala Marekani.

Yaan ukiolewa na mabeberu huna namna inabidi ufuate wanachotaka.
 
Tanzanians are just like Somalis, trying to show their superiority against KEnyans all the time😛😛 .
 
Tony254,

Sasa hivi not only tumeban KQ kutua hata kutumia anga la Tanzania Ni marufuku. Kama mnakwenda J'burg au Lusaka pitieni baharini au Congo endelea kujipa moyo tu.
 
Corona ndio imesababisha hasira yote hii baada ya kuona wanatengwa na dunia, sasa Kenya tu ndio ilikua inawabeba ila nayo imewatema.
Aliyetengwa na dunia ni nani? Fungua macho dogo uone watalii wanavozid kumiminika bongo. Tatzo unadhani wote wana akili za kilevi kama ww. Hakuna nchi inayoweza kuitenga tz..ninyi wenyewe ni maadui zetu mmeshindwa mnalia lia huku. Usionyeshe upuuz wako kwa watu otherrwise labda unaota
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji108]
 
Vp Hivi KQ WAMEKUBALIWA VILE ILE SAMAN YAO AU NDIO TANZANIA NI JIRANI JEURI KAKATAA SAMAHANI?,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…