Kenya itahitaji kutumia miaka 94 kumaliza kupima Corona

Kenya itahitaji kutumia miaka 94 kumaliza kupima Corona

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Mpaka Sasa Kenya yenye watu 53,731,953 imeshapima Corona kwa watu 142,366 kwa miezi 3 iliyopita. Kwa hiyo Ina uwezo wa kupima watu 47,455 kwa mwezi.

Kwa hiyo itahitaji miezi 1,132 kuweza kuwapima wakenya wote ambayo ni sawa na miaka 94! Kwa hiyo mabeberu Wana uhakika wa kuendelea kuwanyonya wakenya kwa miaka Yote hiyo kupitia kuwauzia test kits! Kinachofanyika ni kuwa unakopeshwa pesa ili upambane na Corona, halafu unatumia pesa uliyokopeshwa kununua test kits kwao ambazo utazilipa pamoja na riba!

Mabeberu wameamua kutumia covid 29 Kama fursa ya kujipatia pesa kutoka kwenye nchi zisizojitambua!! Can you imagine! Spending 94 years "fighting" covid 19 through covid 29 tests!! Poleni Sana majirani!! Zikiisha hizo pesa mlizokopeshwa mtakopeshwa zingine!! Mtazilipa kwa riba hadi watoto wa wanukuu zenu watakuja kuendelea kulipa Hilo Deni!!

Kwa kuwakumbusha tu Hadi Sasa mna Deni la USD bilioni 52!
 
mbingunikwetu,

Na kabla hujafkria kuwapiga majungu kenya, inabdi ujue mapato yao ya ndani ni zaid ya mara mbili ya mapato yetu Tz, na bejeti yao ni kubwa zaid, mara mbili zaid ya bajet yetu, na uone vile walivo na capacity kubwa ya kuwahudumia wananchi.

Kwaio deni walilonalo linaendana kabsa na uchumi wao.
 
Back
Top Bottom