Kenya itajinasuaje kwenye mtego wa mabeberu wanaojitajirisha kwa kutumia COVID-19?

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Kenya imenaswa kwenye mtego wa Corona. Wazungu wameamua kutumia COVID-19 Kama kitega uchumi.

Wakikukopesha pesa wanakulazimisha uzitumie kupima COVID-19. Test kits ni za gharama Sana, Wana uhakika wataikamua Kenya kwa miaka mingi ijayo. Mpaka Sasa haijapima hata watu laki nne!.

Je, itachukua miaka mingapi kuwapima Wakenya wote?
 
Na kisha test kits zimeibwa na wakora[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

Hii nchi ni kama pori lenye kima wengiiiiii,yaani ni vurumai tupu.
 
Hivi Kenyata lini anaondoka Ikulu au naye amextend kama wa Rwanda?
 
Mbona kujinasua ni simple tu, chukua mapapai, mafenesi na mbuzi halafu uyapime corona kama mkuu wetu.
 
Vipi kuhusu Uganda, Rwanda, Ethiopia, Somalia, Zambia na S.Afrika pia ambapo watu 800 wamekufa kwa Corona kwa muda wa wiki mbili tu? China je, ambapo jijini Beijing kumeibuka mlipuko mpya wa COVID-19? Hivi nyinyi viumbe huwa mnafatilia kinachoendelea duniani au mpo mpo tu mkitizama ngololoo na nyimbo za taarabu kwenye tv yenu pendwa ya TBC?
 
Hapa ni mwendo wa kanyaga kanyaga

Jamani majirani zetu niliangalia makazi ya kibela kidogo yanitoe machozi. Mi Mwafrika ila never seen that before.
 
Vipi kuhusu Uganda, Rwanda, Ethiopia, Somalia, Zambia na S.Afrika pia ambapo watu 800 wamekufa kwa Corona kwa muda wa wiki mbili tu? China je, ambapo jijini Beijing kumeibuka mlipuko mpya wa COVID-19? Hivi nyinyi viumbe huwa mnafatilia kinachoendelea duniani au mpo mpo tu mkitizama ngololoo na nyimbo za taarabu kwenye tv yenu pendwa ya TBC?
Tanzania corona haipo,imeisha nguvu,kwa nini mnatumia nguvu nyingi sana?
Primier league imerudi,shule zinafunguliwa 29th June,nyie endeleeni kufanya mass testing na kujifungia ndani
 
Back
Top Bottom