mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Na kisha test kits zimeibwa na wakora[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Hii nchi ni kama pori lenye kima wengiiiiii,yaani ni vurumai tupu.
Vipi kuhusu Uganda, Rwanda, Ethiopia, Somalia, Zambia na S.Afrika pia ambapo watu 800 wamekufa kwa Corona kwa muda wa wiki mbili tu? China je, ambapo jijini Beijing kumeibuka mlipuko mpya wa COVID-19? Hivi nyinyi viumbe huwa mnafatilia kinachoendelea duniani au mpo mpo tu mkitizama ngololoo na nyimbo za taarabu kwenye tv yenu pendwa ya TBC?
Tanzania corona haipo,imeisha nguvu,kwa nini mnatumia nguvu nyingi sana?Vipi kuhusu Uganda, Rwanda, Ethiopia, Somalia, Zambia na S.Afrika pia ambapo watu 800 wamekufa kwa Corona kwa muda wa wiki mbili tu? China je, ambapo jijini Beijing kumeibuka mlipuko mpya wa COVID-19? Hivi nyinyi viumbe huwa mnafatilia kinachoendelea duniani au mpo mpo tu mkitizama ngololoo na nyimbo za taarabu kwenye tv yenu pendwa ya TBC?