J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Nov 3, 2021 #1 Jaji mkuu amesema mahakama nchini Kenya imeingiliwa na mafisadi hivyo ameitaka Tume ya maadili kuichunguza kwa makini mifumo yote ya mahakama. Chanzo: ITV habari
Jaji mkuu amesema mahakama nchini Kenya imeingiliwa na mafisadi hivyo ameitaka Tume ya maadili kuichunguza kwa makini mifumo yote ya mahakama. Chanzo: ITV habari
Gobole JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 1,806 Reaction score 4,670 Nov 3, 2021 #2 johnthebaptist said: Jaji mkuu amesema mahakama nchini Kenya imeingiliwa na mafisadi hivyo ameitaka Tume ya maadili kuichunguza kwa makini mifumo yote ya mahakama. Source ITV habari Click to expand... Nimekuja mbio nikijua Tz...dah
johnthebaptist said: Jaji mkuu amesema mahakama nchini Kenya imeingiliwa na mafisadi hivyo ameitaka Tume ya maadili kuichunguza kwa makini mifumo yote ya mahakama. Source ITV habari Click to expand... Nimekuja mbio nikijua Tz...dah
omtiti JF-Expert Member Joined Jun 19, 2019 Posts 1,022 Reaction score 1,591 Nov 3, 2021 #3 Hata hapa bongo pia
A astranaut JF-Expert Member Joined Jul 30, 2018 Posts 1,276 Reaction score 1,024 Nov 3, 2021 #4 afadhali wao wanajielewa kuliko huku kwetu kesi zinaamuliwa kwa kuangalia mtu na matakwa ya rais