Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,224
Upuuzi tu. Mbona sisi tumekuwa tukijilipia uchaguzi kwa miaka nyingi ila hatupigi unyende kama nyie? Wacheni ushamba bwana.
Mmetuzidi umasikini na kutegemea misaada ya wazungu kwa kila kitu. 🚮🚮Hizo billions za Tanzania in Kenya shillings ni sawa na kuringanisha kifo na usigizi.
Next time tafuta kitu imezidi Kenya shilling
[emoji38] [emoji38] [emoji38] ona ulivyo kiazi, yess itakuwa digit ndogo zaidi.Hizo billions za Tanzania in Kenya shillings ni sawa na kuringanisha kifo na usigizi.
Next time tafuta kitu imezidi Kenya shilling
Mmetuzidi umasikini na kutegemea misaada ya wazungu kwa kila kitu. 🚮🚮
Unasema hizo ndogo wakati ninyi hamna mpaka mnategemea huruma ya mzungu?
Na ndio maana Tanzania tunao uwezo wa kumuita mzungu beberu na bado life likaendelea
Ninyi watumwa wa mabeberu jaribuni kumuita mzungu hivyo muone kama hamjafa kwa njaa wote.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] ona ulivyo kiazi, yess itakuwa digit ndogo zaidi.
mnaibiwa, bajet kubwa ya uchaguzi na bado mnautumia kuuana. poor you kunyans.
Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app
Which Kunyaland imekuwa ikijilipia? Here is ur donor for ur 2017 election!Wacha sarakasi. Sisi tumekuwa tukijilipia uchaguzi kutoka zamani. Nyie mumeingia middle income mwezi uliopita sasa mnataka kushindana na sisi? Heshimu Wakubwa wako wewe.
Lini mmeacha kufa kwa njaa?Wacha sarakasi. Sisi tumekuwa tukijilipia uchaguzi kutoka zamani. Nyie mumeingia middle income mwezi uliopita sasa mnataka kushindana na sisi? Heshimu Wakubwa wako wewe.
Na uhuru ndicho anachotakaAcha kupindisha mada
Kazungusheni bakuli mpate huruma ya mzungu [emoji38]
Lasivyo Hakuna uchaguzi Kenya [emoji706][emoji706][emoji706]
Kenya mna bajeti za ajabu duniani. Unalenga jutumia bilion 26, lakini uhalisia unatumia bilion 10, 16bil zinaliwa na majizi ya kenya wazee wa pen moja kununuliwa ksh 500Election inacost only 15billion Kenya shilling,
Kwani tz ni Burundi?