Kenya: Joseph Ndirangu (30) ameuawa na Watu wenye hasira kali baada ya kumtupa Mtoto wake kwenye tanuri la kuchomea mkaa

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Joseph Ndirangu (30) Raia wa Kenya ameuawa na Watu wenye hasira kali baada ya kumtupa Mtoto wake mwenye miaka mitatu kwenye tanuri la kuchomea mkaa, inadaiwa kuwa Ndirangu alichukua uamuzi huo baada ya kupishana kauli na Mke wake

======

A 30-year-old man was lynched by an irate mob in Mau Summit, Nakuru County on Wednesday evening after he allegedly threw his three-year-old son into a burning furnace following a domestic squabble.

The deceased Joseph Ndirangu, a casual labourer, is said to have burnt their first born child after he picked a quarrel with his wife, Margaret Wairimu.

Molo police boss Mr Bernard Kioko said Ndirangu was burning charcoal in his homestead on Wednesday evening before he left for a drinking spree.

At around 7.30pm, he is alleged to have returned home while drunk before picking a quarrel with his wife over a petty family issue.

Kioko said surprisingly, instead of resolving the dispute, Ndirangu picked their three-year-old boy who was asleep inside the main house, and threw him in the burning furnace which was outside the homestead.

β€œThe deceased went to a drinking spree and when he got back home, he quarrelled with his wife. He would later throw their child who was asleep in a burning furnace,” said Kioko.

The police boss said the wife quickly followed the husband and tried to rescue the child unsuccessfully.

She cried for help attracting irate locals who lynched Ndirangu.

The bodies of the two were moved to Molo mortuary.

Man lynched after he threw his son into burning furnace
 
Habari zingine za Kenya mimi huzisikia kutoka kwa jirani zetu wa shamba la bibi, sijui ni umbea huwasumbua ama ni wivu?
 
Ndoto zako za mchana peleka vijiweni.


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kweli naota na jua la dar ndoto tamu sana...... pia vijiweni tunajiandaa kupokea airbus mpya tulizonunua kwa pesa zetu wenyewe

pia mwakani tutapokea dreamliner mpya iliyonunuliwa kwa pesa za wananchi

huku safari za nje ya africa zikiongezeka zaidi na watalii tele tunawapokea
 
Endeleeni kuzingoja kwa ndoto
 
Endeleeni kuzingoja kwa ndoto



πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ aki nimeamini wakenya mnapata tabu kuna mwenzenu mmoja analalamika huko kwenye shirika lenu la mkopo kuwa safari za atcl kwenda entebe na bujumbura zimepunguza abiria ndani ya mwezi tu ..... sitaki kusema mwaka ukiisha itakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…