Kenya: Kabarak University yashindwa kurudisha hacked FB page yao! Waamua kufungua Page mpya๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kenya: Kabarak University yashindwa kurudisha hacked FB page yao! Waamua kufungua Page mpya๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Hii habari inasikitisha sana sana na wanazuoni wa Kenya na Afrika kwa ujumla!

Kijana wa kichina ame hack page ya chuo kikuu na amewaomba wampe USD 500 Awarudishie page yao!

Kabarak Uni wana idara ya IT na wanafundisha IT pia, wameshindwa kuonesha ubora kwa jambo hili, walichofanya ni kutoa tamko tu kwamba hawawezi kutoa hiyo hela na wamefungua ukurasa mpya๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Je, Graduates wa hiki chuo wataaminika wapi baada ya kuhitimu masomo yao?

wameshindwa hata kuongea na vyuo vingine vikubwa zaidi wapewe mbinu zaidi ya kukabiliana na hili ili baadae lisije kujirudia likawadhalilisha tena?
 
FB_IMG_1683605545697.jpg
FB_IMG_1683605556857.jpg
FB_IMG_1683605573395.jpg
FB_IMG_1683605582377.jpg
 
Jamaa aliwaambia wampe $500 wakaona utani ! Na Profile pic ya chuo kaweka picha yake !! Hivi kweli wameshindwa kumreport kwa Zuck.
 
Naona ipo verified si waongee na uongozi wa fb ili wamtose huyo hacker
 
huyu dogo ni wa kukamatwa ana hack sehem zisizo na maana๐Ÿ˜€
 
Huyo unakuta ni kijana yupo mitaa ya Nairobi. Kumlipa wasingeweza walisubiri action kutoka kwa Facebook team ambayo haijaleta response nzuri. Mkuu wa ICT kafukuzwa kwa sababu ni uzembe Facebook account ya taasisi kuwa hacked, sio ya individual hiyo kwamba kila link unaclick unafanyiwa phishing. Inawezekana kuna mmojawapo ya admin ndio kahusika kutoa details ndio maana wengi wanadhani hacker ni Mkenya na anawajua hao
 
Fresh tuu wamwachie account apambane nayo
 
Back
Top Bottom