Kenya kama kuna kosa kubwa walilofanya ni kumchagua Ruto kuwa rais

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
2,097
Reaction score
5,348

Naona anataka matokeo ya vituo yasiwe yanarushwa moja kwa moja papo hapo. Haya yatakuwa maandilizi kwa ajili ya wizi wa kura uchaguzi ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…