pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 282
- 561
Gavana wa kaunti ya Mombasa Joho al-maarufu kama 001 ametangaza amri ya kupima korona nyumba kwa nyumba na wote wanaopatikana na maambukizi wanapelekwa karantini ambapo watajihudumia wenyewe malipo ya ksh2000 ambayo ni sawa na shilingi za kitanzania 42000 kwa siku.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti akiwemo mbunge wa Nyali Mohamed Ali aliyewahi kuwa mwandishi wa habari za kiuchunguzi wamepinga vikali hatua hiyo wakisema kuwa huo ni uonevu na wizi, huku wengine wakinukuu maneno ya raisi wa jamuhri ya muungano wa Tanzania Mh Magufuli kwamba vipimo wanavyotumia Havina uhalisia.
Hivyo hata wasio kuwa wana maambukizi wataambiwa kuwa na maambukizi ili wakalipie fedha hizo kule karantini, wananchi majumbani wanasemekana kujihami na silaha za jadi ili kukabiliana na yoyote atakayekuja majumbani kwa kigezo cha kutaka kuwapima...hi vita kila nchi inacheza kivyake.