Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Vipi wale waliobeba pesa za NYS katika mifuko, mbona hamuwaui?, stupid Nyang'au, life in Kenya is very valuless.Shenzi kabisa. Atakuwa chizi huyo, na wachuuza ngono walivo wengi siku hizi.
Umemsau na Jay Mr Pinkyxxx
tatizo na nyie mnabania sana ona sasa mpaka tunapoteza nguvukazi ya taifa!!
Ni wapi kwenye comment yangu ambapo nimesema kwamba ilikuwa haki kumuua huyo mbakaji? Hujui kusoma, au upo 'idle' tu?Vipi wale waliobeba pesa za NYS katika mifuko, mbona hamuwaui?, stupid Nyang'au, life in Kenya is very valuless.
Wewe ndiye mwenye akili mbovu, unashindwa kuelewa vitu vidogo sana, kwani mimi comment yangu inahusiana na comment yako au ya mtu yeyote?. Lengo langu ni kutaka kukuonyesha kwamba watu wanaofanya makosa yenye madhara makubwa kwa Taifa mnawaacha badala yake mnashughulika na watu masikini na wanyes stress za maisha. Ulipaswa au kuunga mkono hoja yangu, au kunyamaza.Ni wapi kwenye comment yangu ambapo nimesema kwamba ilikuwa haki kumuua huyo mbakaji? Hujui kusoma, au upo 'idle' tu?
Very True.Vipi wale waliobeba pesa za NYS katika mifuko, mbona hamuwaui?, stupid Nyang'au, life in Kenya is very valuless.
Kuna sehemu hapo juu, ukibofya unaanzisha thread yako mwenyewe. Pia hapo chini unaeza comment kwenye mada bila ya kumnukuu mtu yeyote ule. Acha kujifanya Madenge, wakati unamnukuu mtu jaribu kutupia maneno mawili matatu ambayo yanaendana na unachokinukuu. Hamkufunzwa hilo huko Milembe?Wewe ndiye mwenye akili mbovu, unashindwa kuelewa vitu vidogo sana, kwani mimi comment yangu inahusiana na comment yako au ya mtu yeyote?. Lengo langu ni kutaka kukuonyesha kwamba watu wanaofanya makosa yenye madhara makubwa kwa Taifa mnawaacha badala yake mnashughulika na watu masikini na wanyes stress za maisha. Ulipaswa au kuunga mkono hoja yangu, au kunyamaza.
Wewe tu ndio hivi majuzi ulikuwa unasema eti Wakenya ni washenzi sana kwa kutenda kitendo cha ngono na ng'ombe. Wakenya wakakusikia vyema kisha wakaamua kuchukua hatua. Baada ya hio hatua, tena umeruka futi kumi juu na kukashifu walio chukua hatua. Wewe jamaa haueleweki. Unataka tufanye nini?Vipi wale waliobeba pesa za NYS katika mifuko, mbona hamuwaui?, stupid Nyang'au, life in Kenya is very valuless.
Hahahahaha..Niliposema wakenya ni washenzi kwa kufanya ngono na wanyama, lengo langu ni kuwahimiza ili muache mambo ya kishenzi na muishi maisha ya kistaarabu kama Tanzania tunavyoishi, na kama lengo ni kukomesha vitendo hivyo, basi mtumie sheria mlizojiwekea sio kufanya vitendo vya kishenzi zaidi kama hiki mlichomfanyia huyo kihana, sasa mumekuwa washenzi mara mbili zaidi.Wewe tu ndio hivi majuzi ulikuwa unasema eti Wakenya ni washenzi sana kwa kutenda kitendo cha ngono na ng'ombe. Wakenya wakakusikia vyema kisha wakaamua kuchukua hatua. Baada ya hio hatua, tena umeruka futi kumi juu na kukashifu walio chukua hatua. Wewe jamaa haueleweki. Unataka tufanye nini?
Kabisa, kutoa roho ya mtu kisa kafanya ngono na mnyama ni ukatili, ushenzi na unyama usiopimika!Hahahahaha..Niliposema wakenya ni washenzi kwa kufanya ngono na wanyama, lengo langu ni kuwahimiza ili muache mambo ya kishenzi na muishi maisha ya kistaarabu kama Tanzania tunavyoishi, na kama lengo ni kukomesha vitendo hivyo, basi mtumie sheria mlizojiwekea sio kufanya vitendo vya kishenzi zaidi kama hiki mlichomfanyia huyo kihana, sasa mumekuwa washenzi mara mbili zaidi.