KENYA: Koffi Olomide ampiga mateke mnenguaji wa kike baada ya kutua jijini Nairobi

KENYA: Koffi Olomide ampiga mateke mnenguaji wa kike baada ya kutua jijini Nairobi

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
12,181
Reaction score
20,148
Hivi punde Standard Media Digital Kenya ime-release video ikionyesha Koffi Olomide akimtandika mateke dancer wake wa kike muda mfupi baada ya kutua Jomo Kenyatta International Airport.

Bila kueleza sababu, lakini video hiyo inaonyesha kulikuwa na drama inaendelea, Kofi akiwa mwenye hasira alimfuata dada huyu na kumpiga teke hadharani. Cha kushangaza polisi pia wanaonekana kwenye video hiyo lakini hakuna aliyethubutu kuchukua hatua yoyote.

Watu wanajiuliza, kama anaweza kumpiga mwanamke mbela ya kamera hivi, je inakuwaje wakiwa huko mafichoni. Wakenya wengi wamekuja juu kwenye mitandao, wanadai huyu jamaa ni women abuser, hivyo kuna hashtag inaendelea kwenye Facebook na Twittwer sasa ‪#‎KenyansboycottKoffiOlomide‬

Angalia video hapa:

 
Hivi punde Standard Media Digital Kenya ime-release video ikionyesha Koffi Olomide akimtandika mateke dancer wake wa kike muda mfupi baada ya kutua Jomo Kenyatta International Airport. Bila kueleza sababu, lakini video hiyo inaonyesha kulikuwa na drama inaendelea, Kofi akiwa mwenye hasira alimfuata dada huyu na kumpiga teke hadharani. Cha kushangaza polisi pia wanaonekana kwenye video hiyo lakini hakuna aliyethubutu kuchukua hatua yoyote. Watu wanajiuliza, kama anaweza kumpiga mwanamke mbela ya kamera hivi, je inakuwaje wakiwa huko mafichoni. Wakenya wengi wamekuja juu kwenye mitandao, wanadai huyu jamaa ni women abuser, hivyo kuna hashtag inaendelea kwenye Facebook na Twittwer sasa ‪#‎KenyansboycottKoffiOlomide‬

Angalia video hapa:



Wakenya nao bana. mtu anakuwa abused wanakimbilia kwenye key-board. huko ndo polisi au mahakamani kwani??

i-d-i-o-t-s !!!
 
We ulieleta taarifa hii ni mbea sana,hao maofisa waliokuja kumzia hapo hukuwaona?au una macho ya dj


Kumpiga mtu au kuanzisha tafarani kama hiyo mbele ya kadamnasi ni kosa kisheria, kwa wewe punguani ndio utaniita mbea, lakini kwa tukio kama hilo polisi kukuzuia na kukuacha uendelee na hamsini zako haitoshi. Lazima hatua zaidi zichukuliwe.
 
Huyu jamaa ameonesha kiwango kikubwa cha dharau kwa mwanamke,jeshi la polisi na raia waliokuwapo..Taarifa zaidi zitasaidia kisa na mkasa.
 
Back
Top Bottom