PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Hivi punde Standard Media Digital Kenya ime-release video ikionyesha Koffi Olomide akimtandika mateke dancer wake wa kike muda mfupi baada ya kutua Jomo Kenyatta International Airport.
Bila kueleza sababu, lakini video hiyo inaonyesha kulikuwa na drama inaendelea, Kofi akiwa mwenye hasira alimfuata dada huyu na kumpiga teke hadharani. Cha kushangaza polisi pia wanaonekana kwenye video hiyo lakini hakuna aliyethubutu kuchukua hatua yoyote.
Watu wanajiuliza, kama anaweza kumpiga mwanamke mbela ya kamera hivi, je inakuwaje wakiwa huko mafichoni. Wakenya wengi wamekuja juu kwenye mitandao, wanadai huyu jamaa ni women abuser, hivyo kuna hashtag inaendelea kwenye Facebook na Twittwer sasa #KenyansboycottKoffiOlomide
Angalia video hapa: