MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Leo wanafunzi wa Mwisho wanafanya mithani wa mwisho wa waTaifa kwa shule za Misingi Kenya(KCPE)
Kumbuka wana mitaala mipya ambayo imeondoa mitihani ya Taifa kwa shule za misingi. Tanzania bado tunaimini kwenye mitihani na sio kuelewa kwa mwanafunzi.
Hivi sasa unaweza kuta mwaka mzima watoto wanasolviwa Past paper pekee ili waje kujibu mitihani na sio waelewe.
Mtoto hafundishwi techinical skills wala analytical skills,bali wanafundishwa jinsi watakavyo faulu mitihan na kwenda kuwafurahisha wazazi wao.
Mzazi anafurahia mtoto kapata A baada ya kuchora panzi,na kuonyesha kwenye raman mahali mto Naile ulipo.