WoowLoe wanafunzi wa Mwisho wanafanya mithani wa mwisho wa waTaifa kwa shule za Misingi Kenya(KCPE)
Kumbuka wana mitala mipya ambayo imeondoa mitihani ya Taifa kwa shule za misingi.Tanzania bado tunaimini kwenye mitihani na sio kuelewa kwa mwanafunz.
Hivi sasa unaweza kuta mwaka mzima watoto wanasolviwa Past paper pekee ili waje kujibu mitihani na sio waelewe.
Mtoto hafundishwi techinical skills wala analytical skills,bali wanafundishwa jinsi watakavyo faulu mitihan na kwenda kuwafurahisha wazazi wao.
Mzazi anafurahia mtoto kapata A baada ya kuchora panzi,na kuonyesha kwenye raman mahali mto Naile ulipo.View attachment 2797576
Aisee..Kumbuka wana mitala mipya ambayo imeondoa mitihani ya Taifa kwa shule za misingi.Tanzania bado tunaimini kwenye mitihani na sio kuelewa kwa mwanafunz.
Hatujaishia kufuta tuu Bali tumeenda mbali ya hapo.Sisi wenyewe tumefuta mtihani wa taifa wa primary.
Kwenye mtaala mpya wa Tanzania hakuna huo mtihani
Chuo Huwa unapimwaje?Watoto watapimwaje uelewa wao?
Huo mtaala mpya unaanza kutumika lini?Sisi wenyewe tumefuta mtihani wa taifa wa primary.
Kwenye mtaala mpya wa Tanzania hakuna huo mtihani
Something like mwaka ujaoHuo mtaala mpya unaanza kutumika lini?
Mambo ya kulinganisha linganisha nimezoea kuyaona kwa jinsia ya kike.Loe wanafunzi wa Mwisho wanafanya mithani wa mwisho wa waTaifa kwa shule za Misingi Kenya(KCPE)
Kumbuka wana mitala mipya ambayo imeondoa mitihani ya Taifa kwa shule za misingi.Tanzania bado tunaimini kwenye mitihani na sio kuelewa kwa mwanafunz.
Hivi sasa unaweza kuta mwaka mzima watoto wanasolviwa Past paper pekee ili waje kujibu mitihani na sio waelewe.
Mtoto hafundishwi techinical skills wala analytical skills,bali wanafundishwa jinsi watakavyo faulu mitihan na kwenda kuwafurahisha wazazi wao.
Mzazi anafurahia mtoto kapata A baada ya kuchora panzi,na kuonyesha kwenye raman mahali mto Naile ulipo.View attachment 2797576
Kwa UE.....na ukifeli wanachop head!Chuo Huwa unapimwaje?
Continuous assessment zitakuwepo na ndio zitapima mtoto plus Mafunzo ya Amali kwenye fani mbali mbali kiasi ukimaliza kinachoitwa basic education uwe na ujuzi wa kufanya jambo Fulani la fani.Kwa UE.....na ukifeli wanachop head!
Ok,well an good 👍Continuous assessment zitakuwepo na ndio zitapima mtoto plus Mafunzo ya Amali kwenye fani mbali mbali kiasi ukimaliza kinachoitwa basic education uwe na ujuzi wa kufanya jambo Fulani la fani.
Hiyo itakuwa nzuriWawawekee mfumo Kama wa chuo watoto akipata sup akishindwa kuchomoa anapata Carry na akishindwa chomoa hiyo carry anarudia darasa hii itawafanya watoto wawe na nidhamu ya kuheshimu kila kitu ikiwemo assignment wanazopewa na waalimu wao .
Unajua mfumo was chuo kikuu chapo Kuna faulu nyingi ila huwezi kujisahau
Watoto watapimwaje uelewa wao?