Kenya kufanyiwa jaribio la chanjo ya korona

FAKE NEWS!
Majaribio ya chanjo yatafanyiwa Kenya ipi hiyo na yatafanywa na nani? Wizara ya Afya nchini Kenya wanasema hakuna shirika lolote au mtu yeyote ambaye wamezungumza naye kuhusu chanjo au majaribio ya chanjo nchini Kenya.

Kama kiingereza hakitawakanganya sikizeni response ya wadau wa Wizara ya Afya kuhusu suala hilo leo hii kwenye updates za kila siku, za COVID-19. Baada ya wao kuulizwa maswali na wanahabari.

Wizara ya Afya wanasema kwamba wao wenyewe wamepata taarifa hizo kutoka kwa wanahabari. Acheni kulazimisha.

 
We all knw vaccines za HIV zilifanywa testing Tz

===
Tanzania: HIV Vaccine Trial One Step Up

THE Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS), has embarked on the third stage of HIV vaccine trials involving participants who are at high risk of contracting the disease.

The participants who are involved in the study include sex workers.

According to a researcher, Mr Zakaria Mtulo from MUHAS, the previous stages I and II involved members of the armed forces but the third stage has involved a large number of participants who were at risk of getting HIV.

He was speaking at the ongoing Saba Saba exhibitions at Mwalimu Nyerere grounds along Kilwa Road in Dar es Salaam.Mr Mtulo said the third stage commenced in October last year and it has so far recruited 700 participants.

"We are proceeding with the screening stage and from there we will get the required sample size for the third trial which is the efficacy stage," "When you have a large sample size, the possibility of having the true values or results is high and this is the essence of the third trial," he said.

He noted that the participants underwent through similar procedures which were done to the members of armed forces, whereby they were screened for HIV, Hepatitis B and C and other health complications before they were enrolled.

He said after they were enrolled, they were given the vaccine that was on trial and will be followed up for three years.

Mr Mtulo said that since they started conducting the trials of the HIV vaccine in 2007, the preliminary findings have shown that the vaccine has the capability of stimulating the body to develop immunity against the virus.

"Since we started conducting the trials more than a decade ago we have seen a very good response to our candidates towards the stimulant and this has made us to move a step ahead going to the third trail," he said.

He further explained that MUHAS was participating in the vaccine trial because there were multiple circulating strains of HIV, and therefore the virus circulating in Tanzania may not be



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa pumbavu hivi wanatuonaje hawa? Wasiende kujaribia American na Italy wanapokufa kama nzige waje kujaribia Africa tena kwenye nchi isiyokuwa na vifo hata 30?

Inashangaza sana.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Haishangazi hiyo, kawaida yao hawa nyang'au. Tena wataona sifa majaribio yanafanywa na madaktari wa Uingereza. Kizungu cha ugoko kingii lakini akili kiduchu.
 
Kenya wamesema hawajafanya mazungumzo yoyote na hao wanaotaka kujaribu hiyo chanjo, so it's just a rumor.
 
Jipe muda mkuu Kama mmeweza kungoa viti vya ndege ili mpeleke matunda mtashindwa chanjo naomba kesho asubuhi wahi mapema uangalie news
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo serikali imesema hamna kitu kama hicho kimetajwa sehemu yoyote, na kama ikitokea lazima kitafuata taratibu na itifaki zote za kitaalam, ila binafsi nipo radhi kuwa wa kwanza, njooni mnitafute nitakubali kujaribisha ili niokoe bara letu hili, hata nikifa kifo changu kitakua na umuhimu fulani.

Waafrika sisi ni mzigo kwenye hii dunia, hatuchangii kwa chochote zaidi ya kuomba misaada tu, ila pia nimefurahi kuona wanasayansi wa Kenya wapo mbioni kugundua chanjo dhidi ya Corona
 
Haishangazi hiyo, kawaida yao hawa nyang'au. Tena wataona sifa majaribio yanafanywa na madaktari wa Uingereza. Kizungu cha ugoko kingii lakini akili kiduchu.
Kwahiyo kila nchi ikikataa hiyo testing ikafanywe wapi? Tuendelee kufa??

Kuna mijitu ni mipumbavu sijawahi kuona.. Hizo Vaccines lazima zijaribiwe kwenye races tofauti kuona umahiri wake, stop being a jerk!
 
Labda wagundua sumu ya panya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya wameona waafrica wote walio kataa ni wajinga
Kwahiyo kila nchi ikikataa hiyo testing ikafanywe wapi? Tuendelee kufa?

Kuna mijitu ni mipumbavu sijawahi kuona.. Hizo Vaccines lazima zijaribiwe kwenye races tofauti kuona umahiri wake, stop being a jerk!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

COVID-19 Vaccines to be tested in Kenya
 
CHANJO itafanywa KIMYA KIMYA... LISEMWALO LIPO..WACHA KUBISHANA
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Silly argument. All vaccines and drugs intended for humans must be tested in humans before licensure. Why are you "stigmatizing" this well-established fact?
Kwahyo Testing wafanye kwa MUAFRICA...? hivi unajuwa maana ya Majaribio? maana yake hata UKIFA HUNA THAMANI...zamani walifanya kwa SOKWE..AU NYANI,,sasa wameona NYANI WANA THAMANI kuliko MUAFRICA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana haujui kuhusu hili. Majaribio huanzia kwa wanyama kwanza, halafu kwa kundi dogo la binadamu, halafu makundi makubwa ya binadamu kabla ya dawa kupewa leseni ya kuanza kutumika. Phase 1-3 za majaribio huwa katika binadamu. Unaweza ku-google ukajifunza mwenyewe. Kama una TV nyumbani, utakuwa umeona kuwa hii chanjo inayovungumziwa, juma lililopita imeanza kujaribiwa Uingereza katika binadamu Wazungu. Wakenya hawatakuwa wa kwanza.
Kwahyo Testing wafanye kwa MUAFRICA...? hivi unajuwa maana ya Majaribio? maana yake hata UKIFA HUNA THAMANI...zamani walifanya kwa SOKWE..AU NYANI,,sasa wameona NYANI WANA THAMANI kuliko MUAFRICA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…