Sasa kama WALISHAFANYA MAJARIBIO,,,,huku Africa WANA shida napo GANI?kama walianza kwa MNYAMA,,wakafuata kwa MZUNGU,,sasa iweje walete MAJARIBIO TENA KWA MTU MWEUSI AFRICA?inamaana kwa MZUNGU bado hawajaridhika?Amka MKUU,,,WAZUNGU hawatuchukulii kama BINADAMU wa KAWAIDA,,, wao hutuona ni wa MWISHO KTK KILA JAMBO...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora UENDELEE KUKAA KIMYA KULIKO kuendelea KUWATUKUZA waliokufananisha na NYANI....hivi wewe unaeshabikia KUJA KUFANYIWA MAJARIBIO ndy tuseme UNA IQ Kubwa kuliko WAAFRICA WOTE WALIOPINGA?kweli hata BABU ZETU WALIUZWA UTUMWANI KWA WAZUNGU NA WA AFRICA WENZAO KAMA WEWE..hongera MKUUDawa/Chanjo inapofanya kazi katika Mzungu siyo lazima ifanye kazi katika Mwafrika pia ama Mwasia. Hata huko kwa Wazungu majaribio yameanza juma lililopita. Bado haijulika kama chanjo itafanyakazi ama la. Hata wachoina nao wanafanya majaribio kwao huko. Amka wewe mkulima! Acha kuonyesha ignorance yako. Kama kazi yako ni kulima basi lima kwa bidii. Acha kung'ang'ania mambo ambayo siyo yako. Sitakujibu tena.