Kenya kuisaidia DRC kurejesha utulivu kisiasa

Kimya kimya ama kinyaa? Hao watu walikuja kufanyia mipango yao ya kugombea huko kwao huko Nairobi.....Baasi ndio mmeona mmefanya kazi nzito? Wasaidieni ndgu zenu wa South Sudan tuone.....kelele nyingi halaf wabnafsi wakubwa
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ huyo nchi itamshinda ama atafika mahala akae zake nje tuu kukwepa matatzo nchini kwake.
 
Kwaiyo soon jeshi lenye ujuzi na mbinu hatari za kimedani na lenye nidhamu ya hali ya juu KDF linaingia congo baada ya kuonesha uwezo huko Somalia ?

Pia kdf ndio jeshi peke ambalo lina ujuzi wa kujinasua kwenye ambush



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naipenda fighting spirit ya Kenya, naona hapo Kenyatta anapochukua entrepreneurship role kwa niaba ya nchi yake
Hapo wameishanusa potential investments za kufa mtu. Hivi mnajua banks zinazofanya vizuri Congo ni za wa Kenya?
Kenya sio wajinga kupeleka askari Somalia ni kama Bush anapeleka askari Iraqi

Kalagabaho na ubozi wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Anashirikiana na Vasco Dagama mwenzake, maana Uhuru naye kwa kuruka ruka angani yupo vizuri... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Haa! πŸ˜€ Tuseme kwa mfano rais Tshisekedi asizuru nje ya DRC rais Uhuru Kenyatta naye akomalie Nairobi. Alafu? [emoji15] Fursa kama hizi za ushirikiano zitatoka wapi?
 
Unazima moto kwa Jirani na Kwako kunawaka..
imagine unategemea nchi kama Kenya ikuletee utilivu, Huku al shabaab, Huku Mungiki, Huku Polisi, huku Jubilee, huku njaa na ukabila,
Wewe na Kenya! Hoja zako kuhusu Kenya huwa ni mbolea ya ng'ombe tupu.

Daktari Congo anayajua maslahi na Malengo yake, wewe/nyinyi ni nani kumchagulia la kufanya?
Kuna siku atabisha hapo kwenu, msijali. Hamna haja ya vijitusi vya aina hii Kwa Kenya juu ya wivu Kwa mambi yasiyo na tija.
 
Haa! πŸ˜€ Tuseme kwa mfano rais Tshisekedi asizuru nje ya DRC rais Uhuru Kenyatta naye akomalie Nairobi. Alafu? [emoji15] Fursa kama hizi za ushirikiano zitatoka wapi?
Huku kwetu Uswahilini huwa tunasema "mtembea bure si sawa na mkaa bure, maana huenda akaokota", lakini Tshisekedi kiboko, kukabidhiwa tu safari zinaanza! Ngoja awape fursa za kufaidi dhahabu... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kenya naishauri itafute amani kwanza Somalia ambayo ndio kipimo tutakachowapimia kabla ya huko kwa mabutu wa zebanga
 
Huku kwetu Uswahilini huwa tunasema "mtembea bure si sawa na mkaa bure, maana huenda akaokota", lakini Tshisekedi kiboko, kukabidhiwa tu safari zinaanza! Ngoja awape fursa za kufaidi dhahabu... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…