Kenya: Kukatika kwa umeme, Bosi wa Viwanja vya Ndege afukuzwa kazi

Kenya: Kukatika kwa umeme, Bosi wa Viwanja vya Ndege afukuzwa kazi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini Kenya amefutwa kazi baada ya kukatika kwa umeme na kuwaacha abiria wakiwa gizani kwa saa kadhaa katika Uwanja Mkuu wa Ndege wa Nairobi.

Alex Gitari alifutwa kazi na Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen, ambaye ameomba radhi kwa changamoto hiyo iliyotokea.

Kampuni kubwa ya umeme inayomilikiwa na Serikali haijaeleza ni nini hasa kilichosababisha kukatika kwa umeme nchini kote.

Ingawa baadhi ya maeneo umeme umeanza kujeshwa.

Watumiaji wa kitandao ya kijamii wamebadili kuwa Uwanja huo wa Ndege haukuwa na jenereta ya akiba kwa ajili ya umeme.

Aidha, Waziri wa Usafiri amesema kuwa Uwanja huo wa Ndege una miliki majenereta mawili yaliyonunikiwa miaka kadhaa iliyopita lakini hayajaunganishwa.


#########

Kenya power cuts: Airports boss sacked as tourists left stranded


The head of Kenya's airports authority has been sacked after a power cut left passengers stranded in darkness for hours at Nairobi's main airport.

Alex Gitari was fired by Transport Minister Kipchumba Murkomen, who has apologised for the chaos.

He added that political interference had resulted in a demoralised and disorganised workforce.

The majority state-owned power company has not explained exactly what caused the countrywide power cut.

Although some areas have seen power restored, homes and businesses across much of the country are still affected by the outage that began on Friday.


Tourism is a key part of Kenya's economy, accounting for about 10% of GDP at the last count by government. The sector is also one of the East African nation's top sources of hard currency.

Kenyans on social media are outraged that the main airport did not have functioning back-up generators.

In addition to Mr Gitari, another senior civil aviation authority official has been sacked and the manager of Nairobi's Jomo Kenyatta International Airport has been demoted to a role at Mombasa's main airport.

Meanwhile, there have been chaotic scenes and long queues at the entrances to Kenya's national parks after the digital payment system failed.

Power cuts are not unusual in Kenya, but such a lengthy countrywide outage with Nairobi's main airport, hospitals and even State House plunged into darkness is rare.

When things don't run smoothly, Kenyans are quick to point to corruption - the colossal theft of public funds has long held the country back.

The transport minister said two generators procured for the airport two years ago are yet to be commissioned.

It would be interesting to know how much they cost, who got the contract and why they have not yet been installed.


Source BBC
IMG-20230827-WA0013.jpg
IMG-20230827-WA0014.jpg
 
bongo bado sana
Hahahaha, ninyi wakenya ni wajinga Sana, yaani mkifanya kitu kidogo mnapiga kelele Dunia nzima inajua, Sasa kumtimua mtu kwasababu ya kukatika kwa umeme na kuwaacha watu wanaoiba mabilioni ya pesa za serikali kipi muhimu?
 
Hahahaha, ninyi wakenya ni wajinga Sana, yaani mkifanya kitu kidogo mnapiga kelele Dunia nzima inajua, Sasa kumtimua mtu kwasababu ya kukatika kwa umeme na kuwaacha watu wanaoiba mabilioni ya pesa za serikali kipi muhimu?
ndio kwa maana nakwambia bongo kufikia levo ya Kenya bado sana 😁😁
 
Kweli bado kufikia level ya Corruption, tribalism, Nepotism, hunger na wizi wa Mali ya serikali, hapo kamwe hatuwezi kuwafikia, salute our neighbours [emoji123][emoji123][emoji123]
Tanzania haina corruption, tribalism, nepotism, hunger, blah blah blaah lakini wananchi wake ni masikini wa kutupwa.
 
Mtu masikini ni yule anayeshindwa kupata chakula hadi kusababisha kufa kwa njaa
mtu masikini na mvivu ni yule anayeketi kando ya barabara kutwa, kucha anashinda kuombaomba. akili yako imejaa supu ya Kamongo
 
Aidha, Waziri wa Usafiri amesema kuwa Uwanja huo wa Ndege una miliki majenereta mawili yaliyonunikiwa miaka kadhaa iliyopita lakini hayajaunganishwa.
Walishapiga 10% ya ununuzi hawakuona sababu ya kuyainstall
Nakumbuka huo uwanja ulipoungua miaka kadhaa iloyopita, waandishi wa habari wa Tanzania walimfuata waziri wa uchukuzi wakamuuliza amejifunza nini kutokana na tukio la kuungua jengo la airpot Nairobi, akasema "... amejifunza kuwa moto ni kiboko"
 
Habari wana jukwaa,

Kilio changu ni Hapa Mbeya Mjini maeneo ya iwambi, Iyunga na Mbalizi umeme unasumbua Sana.

Pia hawatuambii tatizo, Rais Samia tunakuomba uwe mkali saaana watendaji wako wanakuangusha, Miaka mitano ya Hayati Magufuli tulisahau hizi kero lakini kwa sasa imekuwa kawaida tuuu nasi tumezidi kuingia hasara Biashara Zetu
poleni sana WaMbeya.
 
Unapokuwa na ujasiri wa kutoa mfano, uwe na uhakika na mfano huo unaoutoa kuwa unauelewa vizuri.

Wewe hapa unapotosha, hujui unachozungumzia.
Kenya wana matatizo makubwa ya umeme, halafu unakuja hapa na kutaka kupotosha watu? Si ni bora hata ungetolea mfano wa Uganda wanaowauzia hata Kenya umeme?

Inaonyesha dhahiri, unachukulia kelelenyingi uazosikia toka huko, na kudhani ndio ukweli.

Lakini usinielewe kuwa nashangilia chochote kuhusu uozo tulionao hapa kwetu.
acha upotoshaji. Kenya umeme ni 24/7 nchi nzima. umeme unakatwa makusudi maeneo machache kwa mda mchache iwapo kutakua na haja ya kufanya maintenance na maeneo husika yatapewa notice ili kuweza kujipanga namna hii 👇
IMG_20230922_034116.jpg
 
Hahahaha, ninyi wakenya ni wajinga Sana, yaani mkifanya kitu kidogo mnapiga kelele Dunia nzima inajua, Sasa kumtimua mtu kwasababu ya kukatika kwa umeme na kuwaacha watu wanaoiba mabilioni ya pesa za serikali kipi muhimu?
SEMA Tanzania ndio wajinga wanatafuna mpaka ripoti ya CAG
 
acha upotoshaji. Kenya umeme ni 24/7 nchi nzima. umeme unakatwa makusudi maeneo machache kwa mda mchache iwapo kutakua na haja ya kufanya maintenance na maeneo husika yatapewa notice ili kuweza kujipanga namna hii 👇
View attachment 2757600
Hiyo lugha unaijua au huijui?

Hayo yanayoelezwa kwenye matangazo hayo ndiyo "24/7" kwako?

Au kwa vile tu hawa wapumbavu wa hapa kwetu wanashindwa hata kuweka hayo matangazo kukulaza akili mtu kama wewe?
 
Back
Top Bottom