Lewis254 JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 7,729 Reaction score 3,569 Sep 28, 2023 #21 NUHWAHI said: Wanaogopa mambo mawili ambayo chanzo ni kmoja. 1. Kukatika umeme wakiwa kwenye mechi.. 2. Kulala giza mara kwa mara... Jamani tusisahau kwamba hatuna umeme wa kutosha,... Click to expand... bro,, poleni sana kwa shida ya umeme inayowakumba
NUHWAHI said: Wanaogopa mambo mawili ambayo chanzo ni kmoja. 1. Kukatika umeme wakiwa kwenye mechi.. 2. Kulala giza mara kwa mara... Jamani tusisahau kwamba hatuna umeme wa kutosha,... Click to expand... bro,, poleni sana kwa shida ya umeme inayowakumba
Lewis254 JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 7,729 Reaction score 3,569 Sep 28, 2023 #22 Wakipekee said: Hata kama n wewe upo tayari kuja nchi ambayo haina umeme fikiria mo Salah anaenda kufunga Goli mara umeme umekatika Nani anataka hiyo tabu Click to expand... sipo tayari
Wakipekee said: Hata kama n wewe upo tayari kuja nchi ambayo haina umeme fikiria mo Salah anaenda kufunga Goli mara umeme umekatika Nani anataka hiyo tabu Click to expand... sipo tayari
N NUHWAHI JF-Expert Member Joined Jan 23, 2014 Posts 306 Reaction score 490 Sep 28, 2023 #23 Lewis254 said: bro,, poleni sana kwa shida ya umeme inayowakumba Click to expand... asante.. Habar ya +254
Lewis254 said: bro,, poleni sana kwa shida ya umeme inayowakumba Click to expand... asante.. Habar ya +254