Kenya kukumbwa na Njaa Kali kuliko mwaka Jana.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Huku baadhi ya wakenya wakisifia idadi kubwa ya matajiri, upande wa pili ni kuhusu wananchi wa kawaida kukumbwa na njaa Kali zaidi kutokana na kushuka kwa uzalishaji wa mahindi.

Taarifa tulizozipata kutoka wizara ya KILIMO ya Tanzania ni kwamba, kwa upande wa Tanzania, uzalisha wa chakula mwaka huu utaongeza zaidi ya ule wa mwaka Jana kutokana na kuongezeka kwa kilimo cha umwagiliaji nchini.

Waziri wa KILIMO wa Tanzania amesema, ikifika mwaka 2020, ekari zaidi ya milioni moja zitakuwa chini ya KILIMO cha umwagiliani na kuifanya Tanzania kuwa ni mzalishaji MKUU wa chakula katika nchi za SADC na EAC.

Wakenya mnakosea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…