Kenya Kuna Mambo!

Keykey

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2006
Posts
3,251
Reaction score
747
Watani zetu wa jadi hodari sana kuzungumza lakini hali halisi inaonyesha sio majasiri kiasi hicho.

Juzijuzi akina mama wa Kenya waligomea unyumba kwa siku 10, sasa hili la wanaume kunyanyaswa majumbani???!!! Inasemekana wanasiasa huko ndio wanashughulikiwa kwelikweli.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…