LAZIMA NISEME
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 240
- 267
Kwanini USA unaingia na VIZA? na hauingii kiholela?Tuache uoga maendeleo Ni watu tizama USA Kuna kila aina ya mtu. Ni kurekebisha tu Sheria zetu za kulinda rasilimali basi tena Bora wageni maana wazawa wanatupiga kweli rasilimali
mbona hata Mama alishafungua kitambo... Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoniDuu, wameichoka nchi yao sasa wanataka kuifanya kama nchi za Sahelna Libya ambalo limekuwa pango la wanyang'anyi na ushaloba kwa wazamiaji wa kwenda ulaya.
Ruto aangalia uamuzi wake upya.
Ukiwa una rasilimali nyingii halafu watu wako sio competitive and unproductive lazma uhofie watu wa nje, Ila kwa wenzetu tukubali human capital yao ipo vizuri na wao hawana rasilimali nyingi sana zaidi ya kutegemea service based industries tofauti na sisi huku kwetu, rasilimali nyingi Ila SISI wananchi sio productive ndio maana tunahofia wengine wakiingia tutashindwa kupambana naoDuu, wameichoka nchi yao sasa wanataka kuifanya kama nchi za Sahelna Libya ambalo limekuwa pango la wanyang'anyi na ushaloba kwa wazamiaji wa kwenda ulaya.
Ruto aangalia uamuzi wake upya.
Africa tumeimbishwa huu wimbo sana na ukichunguza kidogo tu unakuta hatuna raslimali kihivyo ukilinganisha na maeneo mengine duniani.Ukiwa una rasilimali nyingii halafu watu wako sio competitive and unproductive lazma uhofie watu wa nje, Ila kwa wenzetu tukubali human capital yao ipo vizuri na wao hawana rasilimali nyingi sana zaidi ya kutegemea service based industries tofauti na sisi huku kwetu, rasilimali nyingi Ila SISI wananchi sio productive ndio maana tunahofia wengine wakiingia tutashindwa kupambana nao
Vipi kuhusu utilization na kiasi kilichobaki mkuuAfrica tumeimbishwa huu wimbo sana na ukichunguza kidogo tu unakuta hatuna raslimali kihivyo ukilinganisha na maeneo mengine duniani.
Hio hapo ni "total available". Natural mineral resources ni finite, tunavyozitumia zinazidi kupungua. Raslimali zilizo na thamani kubwa zaidi ni raslimali watu na 'produced capital' (majengo, mashine n.k). Tuwekeze kwenye elimu bora na afya kwa watoto wetu tupae. Hizi stori za tuna raslimali nyingi ni blabla tu. Wenzetu wana raslimali sawa na sisi ila za kwetu ni rahisi kuchuma zitakuja isha tutabaki maskini tusipo-focus kwenye raslimali watu.Vipi kuhusu utilization na kiasi kilichobaki mkuu
Resources zote ni muhimu, na hakuna ubaya wa kuwa nazo in abudance, kinachojalisha ni tunazitumiaje kutoka tulipo. Hivyo tu mkuuHio hapo ni "total available". Natural mineral resources ni finite, tunavyozitumia zinazidi kupungua. Raslimali zilizo na thamani kubwa zaidi ni raslimali watu na 'produced capital' (majengo, mashine n.k). Tuwekeze kwenye elimu bora na afya kwa watoto wetu tupae. Hizi stori za tuna raslimali nyingi ni blabla tu. Wenzetu wana raslimali sawa na sisi ila za kwetu ni rahisi kuchuma zitakuja isha tutabaki maskini tusipo-focus kwenye raslimali watu.
Ukiwa una rasilimali nyingii halafu watu wako sio competitive and unproductive lazma uhofie watu wa nje, Ila kwa wenzetu tukubali human capital yao ipo vizuri na wao hawana rasilimali nyingi sana zaidi ya kutegemea service based industries tofauti na sisi huku kwetu, rasilimali nyingi Ila SISI wananchi sio productive ndio maana tunahofia wengine wakiingia tutashindwa kupambana nao
mbona hata Mama alishafungua kitambo... Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoni