Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afrika bado hatupo tayari kuondoka kwenye kurunzi ya dunia, kuna sehemu nimeona taarifa huko Tanzania jamaa sita wamechinjwa na kuwekwa kwenye mifuko ya sandarusi na kutupwa kwenye mto Ruvu. Halafu waziri ameulizwa kunani akasema hao ni wahamiaji haramu.
ICC sio suluhu Afrika, lakini hata hivyo sisi wenyewe hatuna suluhu. Tunachinjana kama bata wanavyochinjwa.
Fuata huu uzi Waziri Nchemba: Maiti Saba wa Mto Ruvu ni wahamiaji haramu
Shika ya kwenu milele . ..pili pili iko shamba inkuwashia nini?Afrika bado hatupo tayari kuondoka kwenye kurunzi ya dunia, kuna sehemu nimeona taarifa huko Tanzania jamaa sita wamechinjwa na kuwekwa kwenye mifuko ya sandarusi na kutupwa kwenye mto Ruvu. Halafu waziri ameulizwa kunani akasema hao ni wahamiaji haramu.
ICC sio suluhu Afrika, lakini hata hivyo sisi wenyewe hatuna suluhu. Tunachinjana kama bata wanavyochinjwa.
Fuata huu uzi Waziri Nchemba: Maiti Saba wa Mto Ruvu ni wahamiaji haramu
MAULANA IBARIKI NCHI YETU TANZANIA milele yote Amen RANi wapi hakuna matukio kama hayo uliyoyasema Dunia hii? USA watu wangapi hupigwa Risasi live na Askari kila siku mbona hawapelekwi ICC? Uturuki huko kote mbona kuna maishu kila siku na watu wa Uturuki hawalili kuhukimiwa na Wazungu kama sisi? Tatizo sisi Waafrika hatujiamini na tumeaminishwa na Wazungu kwamba matatizo yetu ni ya kipekee Dunia hii na kwamba Mzungu ndiyo anayaeweza kuyatatua na ndiyo maaana tunakimbilia kwake, ...
Ni wapi hakuna matukio kama hayo uliyoyasema Dunia hii? USA watu wangapi hupigwa Risasi live na Askari kila siku mbona hawapelekwi ICC? Uturuki huko kote mbona kuna maishu kila siku na watu wa Uturuki hawalili kuhukimiwa na Wazungu kama sisi? Tatizo sisi Waafrika hatujiamini na tumeaminishwa na Wazungu kwamba matatizo yetu ni ya kipekee Dunia hii na kwamba Mzungu ndiyo anayaeweza kuyatatua na ndiyo maaana tunakimbilia kwake, ...
Kama wahamiaji haramu kutoka kenya na ethiopia wameuana wao kwa wao sisi tutajuaje? Wewe unganisha dots mbili tu kwamba juzi wamekamatwa wahamiaji haramu zaidi ya themanini walioingia bagamoyo kwa kutumia mashua. Hizo dots mbona rahisi sana. Hujui huko kenya raia wanakimbia kutafuta japo mlo. Wanakibia na kuja TZ.Afrika bado hatupo tayari kuondoka kwenye kurunzi ya dunia, kuna sehemu nimeona taarifa huko Tanzania jamaa sita wamechinjwa na kuwekwa kwenye mifuko ya sandarusi na kutupwa kwenye mto Ruvu. Halafu waziri ameulizwa kunani akasema hao ni wahamiaji haramu.
ICC sio suluhu Afrika, lakini hata hivyo sisi wenyewe hatuna suluhu. Tunachinjana kama bata wanavyochinjwa.
Fuata huu uzi Waziri Nchemba: Maiti Saba wa Mto Ruvu ni wahamiaji haramu