Kenya kupendekeza sheria ya kulazimisha watu kutumia majina yao halisi kwenye mitandao ya jamii

Sababu kubwa zilizompeleka Maxcence mahakamani ni kugoma kutoa majina ya watu wanaotafutwa na serikali. Vingine ni siasa kwasababu kuna taasisi nyingi ndani ya nchi hii zinatumia .com.

Tanzania haijazuia matumizi ya .com naona hamnielewi, kile walipitisha ni kwamba tovuti za makampuni yote ya Tanzania lazima yawe na anwani ya .co.tz
Hivyo leo hii kwa mfano JF wanaweza wakasajili jamiiforums .co.tz lakini waendelee kudumisha .com

Halafu kingine naomba unitafsirie hii "Mr Melo appeared at Kisutu court in Dar es Salaam on Friday, charged with obstructing an investigation and with failing to register the site with a co.tz domain name." Tanzanian police charge Jamii Forums founder - BBC News


 
MOTOCHINI huyu jamaa MK254 ni mjuaji siku zote mwenye superiority complex hebu muulize kama domain lazma iwe .co.tz mbona kila siku mpya za .com zinafunguliwa.
 
Pia mii nalitumia langu kabisa mkuu kilam,mbona hunitaji?🙂

Hongera kama unatumia jina lako, sikujua maana limekaa kizungu zaidi. Tungekuwa tunatumia majina yetu halisi na picha zetu heshima ingekuwa kubwa.
 

Achana na siasa za TCRA. Hujafuatilia mwanzo wa hilo saga ndo utaelewa.
 
Tunawakaribisha JamiiForums / Kenyan news-politics waje wajieleze kwa staha wakitumia majina feki kama sheria hiyo tata itapitishwa Kenya.
 
Siyo kenya tu lazima dunia yote itiwe ndani ya net,endelea kutia maji,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…