Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
[HASHTAG]#UwekajiJiwelaMsingiUjenziwaRada[/HASHTAG] "Hivi sasa Tanzania inapoteza takribani Bilioni 1.2 ya tozo kwa mwaka baada ya Shirika la Usalama wa Anga Duniani (ICAO) kukasimu sehemu ya anga la Tanzania kwa Kenya, baada ya mradi huu kukamilika tutarejeshewa sehemu hiyo- Rais @MagufuliJP.