Kenya kupoteza zaidi ya billion 1.2 baada ya Tanzania kufunga radar zake 4 mpya za kisasa

We kilaza mkikuyu umesahau huko Kenya kuna jamaa alichukua chopa kwenda kuzindua daraja la miti
 
Bado unaumwa na ugonjwa wa kuhara? Waziri wa kilimo kazi yake nn?
Eti ugonjwa wa nini? Mzee kama wewe unaongea utoto kama 'kihii'. Ukitaka kujua umuhimu wa agricultural research, cheki usingizi wenu. Africa: Bovine Milk Production per person/per capita. Worldwide Total Milk Consumption per capita.
 
Eti ugonjwa wa nini? Mzee kama wewe unaongea utoto kama 'kihii'. Ukitaka kujua umuhimu wa agricultural research, cheki usingizi wenu. Africa: Bovine Milk Production per person/per capita.
Hapa tunacheka unafiki wako nothing else!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…