Kenya kupoteza zaidi ya billion 1.2 baada ya Tanzania kufunga radar zake 4 mpya za kisasa

Eti ugonjwa wa nini? Mzee kama wewe unaongea utoto kama 'kihii'. Ukitaka kujua umuhimu wa agricultural research, cheki usingizi wenu. Africa: Bovine Milk Production per person/per capita. Worldwide Total Milk Consumption per capita.
Kenya ranked as 'failed state'
 
Kenya ranked as 'failed state'
Hata Angola yenye $150B GDP ni LDC, hiyo sio tatizo, ila kuwa failed state kweli ni ajabu sana, hata Burundi imewashinda[emoji12] [emoji12]
Unaonyesha jinsi ulivyo mshenzi ajabu! LDC haiangalii ukubwa wa uchumi bali kiwango cha maendeleo km kilimo, viwanda, barabara, elimu, afya na quality ya maisha ya wananchi kwa ujumla. Usijifanye hujui yanayoendelea Angola hivi sasa. Kama haujui basi kweli wewe mshenzy.

About LDCs - UN-OHRLLS

Na kuhusu failed states....Kenya sio failed state. Soma kwanza ni kwadababu gani Kenya iliorodheshwa hapo miaka ya 2008/11.

2015

 
Hii nchi bwana, kila Siku kujifananisha na kenya, Jamani kenya hata wasimame wasifanye lolote miaka 20 sisi tuendelee hatutawafikia,
 

Uhuru opens Sh125million plant for preserving livestock semen
What is it that u find so ludicrous about that? That is intended to boost livestock production, hence more food and industrial materials production. That is a big deal.

Tanzania all along has been depending on Kenya to secure its airspace. Now that's a laugh folks!
 
Tangu afungue hilo dude la kuwekea shahawa njaa imeisha huko ?? Sisi tunaweka radar tumemaliza mchezo huko njaa itaisha lini?
 
Tangu afungue hilo dude la kuwekea shahawa njaa imeisha huko ?? Sisi tunaweka radar tumemaliza mchezo huko njaa itaisha lini?
Mr.Hero amesema jambo la maana sana hapo juu...Hata Kenya isimame miaka ishirini hamuwezi kutufikia.
 
That was a reply to your countryman ridiculing our president for laying a foundation stone for a 30mil$ project while your president opens a 1m$ project.
Ain't that ridiculous?
 
Endelea Kijifariji na viji data hovyo.. Hata Zimbambwe ni Middle Income. Ukitaka kulinganisha ustawi wa uchumi kutumia rankings kama hizi labda uwe pumbavu sana.. Haya furahi sasa mpo league moja na Mugabe
[emoji1] [emoji1] [emoji1] eti ligi moja na Mugabe.
 
That was a reply to your countryman ridiculing our president for laying a foundation stone for a 30mil$ project while your president opens a 1m$ project.
Ain't that ridiculous?

Achana na hii. Kuna kali hiyo moja, alienda kufungua daraja, baada ya kuondoka tu likaporomoka the very same week.
 
Achana na hii. Kuna kali hiyo moja, alienda kufungua daraja, baada ya kuondoka tu likaporomoka the very same week.
Uongo. Hakuenda kufungua daraja hilo, bali kwenye pita pita zake kwenye county hilo, kaamua kujionea jinsi mradi ulivyokuwa ukiendelea. Haukuwa umekamilika kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…