Kenya kupoteza zaidi ya billion 1.2 baada ya Tanzania kufunga radar zake 4 mpya za kisasa

Uongo. Hakuenda kufungua daraja hilo, bali kwenye pita pita zake kwenye county hilo, kaamua kujionea jinsi mradi ulivyokuwa ukiendelea. Haukuwa umekamilika kabisa.


Lete source nami nitakupa. Maana media zililalamika SANA.
 
ngoja nilambe na chumvi alafu ntarudi kusoma tena, sijaelewa huu uzi.
 
Nilete source kwanini? The bridge was still under construction, yet to be inaugurated when it collapsed!

Ok but le me give you the (source) function FOR laying of foundation stone which was covered by several media houses.
 
took you all this time to get such technology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…