Kenya kurusha vyombo viwili zaidi angani kutokea kituo cha Malindi

Kenya kurusha vyombo viwili zaidi angani kutokea kituo cha Malindi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ikumbukwe tayari tuna chombo angani, na sasa tupo kwenye maandalizi ya kurusha viwili zaidi.

Vyombo angani husaidia sana kwenye kudadavua ardhi kwenye nchi na kubaini uwepo wa raslimali na mengineyo.

The Kenya Space Agency (KSA) is set to launch two mini-rockets from the Malindi Space Centre in collaboration with the University of Rome in August.

The rockets will be launched using high altitude balloons, an improvement of the earlier huge rockets that were being launched in the 1980s and 1990s.

This was revealed on Thursday during the opening of a space sector high-level engagement forum dubbed ‘The space sector we want in Kenya’ attended by Defence Cabinet Secretary Monicah Juma, KSA chairman Major-General (Rtd) James Arwasa, Kenya Civil Aviation Authority Director-General Gilbert Kibe and other stakeholders.
The use of high-altitude balloons as launch pads for mini-rockets and satellites reduces the cost of sending rockets into space, Mr Arwasa said.

He noted that “satellites and rockets have become smaller because of advances in technology.

“We’ve students who are already working on building and launching the two at the Malindi Space Centre. We’re working with the University of Rome.”

The launch was pushed to August after seven professors involved in the project from Rome tested positive for Covid-19.

“We were expecting nine professors from the University of Rome to join us to witness these students launching the mini-rockets, but unfortunately seven tested positive for Covid-19,” Mr Arwasa said.

The benefits of having satellites in space include selling data collected to other countries. It also means the availability of quality data for use in making efficient decisions in the fight against climate change, promotion of national security, enhancement of agriculture, learning, identifying areas with minerals through earth observation.

KSA, Mr Arwasa said, will ensure information is centralised and accessible to all to avoid duplication.

Watu wanakufa njaa mnajiingiza kwenye kutapanya hela, waafrika takataka!

Mara moja moja huwa nafuatilia nyuzi zako kwenye jukwaa lenu la siasa, wewe huwa mpinzani wa kila kitu anachofanya rais wenu, jitihada zote za serikali lazima utie doa na kutukana, na kwa namna umeponda hizi taarifa za Kenya ni wazi kweli kwanini imeshindikana kwa wapinzani Tz kupokezwa uongozi, sio kila kitu cha kutukana.

Vyombo kurushwa angani husaidia sana kwenye shughuli za ukulima ikiwemo kutathmini hali ya ardhi na maeneo gani yenye rotuba nzuri ili yafanyiwe ukulima na kuondokana na baa la njaa. Sasa umekalia hapo kutukana, sijui ulitegemea tufanye nini labda.
 
wewe huwa mpinzani wa kila kitu anachofanya rais wenu,
Mwenye akili timamu atampinga dikiteita , as long as you are a dictator, self-conscious people will not spare you! yeyote yule atapinga lolote unalolifanya maana halina ruhusa ya wananchi.

Mambo ya kurusha sattelite waachie wenye hela ya ziada. Watu hawana panadol hospitalini unaingiza hela kwenye upuuzi. Kuna namna ya kujiingiza huko , may be kwa collaboration na Western world ambao watafund hivyo vitu, then slowly you take off as time goes on.....siyo kutumia hela ya kununua panadol
 
Mwenye akili timamu atampinga dikiteita , as long as you are a dictator, self-conscious people will not spare you! yeyote yule atapinga lolote unalolifanya maana halina ruhusa ya wananchi!!
Mambo ya kurusha sattelite waachie wenye hela ya ziada. Watu hawana panadol hospitalini unaingiza hela kwenye upuuzi. Kuna namna ya kujiingiza huko , may be kwa collaboration na Western world ambao watafund hivyo vitu, then slowly you take off as time goes on.....siyo kutumia hela ya kununua panadol

Kwenye hilo la kuponda udikteta nakubaliana na wewe maana mimi hapa nilikua mpinzani dhidi ya kila kitu cha rais Moi, na nilichezea kipondo kwa ajili ya hilo.

Turejee kwenye hoja, vyombo havirushwi kama burudani au maonyesho ya fataki, kurusha hiki chombo hamna tofauti na ujenzi wa barabara au muundo mbinu wowote, na kama ungetumia muda wako kusoma hizi taarifa kabla haujaanza kuponda, ungeona tunafanya kwa ushirikiano na hao unaosema walioendelea.

Leo hii tukihitaji data za kuhusu ardhi ya nchi yetu, inabidi tuzinunue kutoka kwa wenye vyombo vyao angani, lakini tukirusha chombo chetu, wenyewe tunachuma data zetu bila utegemezi wa mataifa ya nje, na pia tutawauzia majirani wetu data zao maana tutakua na uwezo wa kuwasoma pia, hivi unafahamu sio kitambo sana Tanzania ilikua inategemea radar zetu kwenye masuala ya anga.....
 
Kwenye hilo la kuponda udikteta nakubaliana na wewe maana mimi hapa nilikua mpinzani dhidi ya kila kitu cha rais Moi, na nilichezea kipondo kwa ajili ya hilo.

Turejee kwenye hoja, vyombo havirushwi kama burudani au maonyesho ya fataki, kurusha hiki chombo hamna tofauti na ujenzi wa barabara au muundo mbinu wowote, na kama ungetumia muda wako kusoma hizi taarifa kabla haujaanza kuponda, ungeona tunafanya kwa ushirikiano na hao unaosema walioendelea.

Leo hii tukihitaji data za kuhusu ardhi ya nchi yetu, inabidi tuzinunue kutoka kwa wenye vyombo vyao angani, lakini tukirusha chombo chetu, wenyewe tunachuma data zetu bila utegemezi wa mataifa ya nje, na pia tutawauzia majirani wetu data zao maana tutakua na uwezo wa kuwasoma pia, hivi unafahamu sio kitambo sana Tanzania ilikua inategemea radar zetu kwenye masuala ya anga.
Uko sahihi sana kwenye issue za matumizi mazuri ya miradi hiyo/sattelites, na ni vizuri kuwa navyo. Concern yangu ni kuwa these undertakings zinatumia pesa nying sana, unless I am less informed of the costs of these projects. Nasema tujiulize, what are our prime needs/priorities za watu wetu ambao tunawatumikia? Watu wetu wana shida za kupata "oxygen" ukiwaambia tunarusha sattelite , watakushangaa.
 
Watu wanakufa njaa mnajiingiza kwenye kutapanya hela, waafrika takataka!
Kwa hapa umeteleza mkuu.

Kwetu huku waziri wa kilimo anasema tuliazima drones kufuatilia nzige walipo kungekuwa na hivyoo vifaa angani vinasaidia mengi.

Mimi nawapongeza Kenya huku kwetu uchagani mtu akifanya kitu chenye maendeleo na faida huwa tunajitaidi kukicopy au kukifanya zaidi.
 
Kama kuna watu hawana "oxygen", then unanunua drones/satellites, basi kuna tatizo hapo. Sikatai kuwa na miradi hiyo, ila tuangale priorities/uhitaji mkubwa wa watu wetu ni upi. Ni sawa na kununua Dreamliner wakati watoto wanasomea chini ya miti Tanzania, na hizo Dreamliner will not generate any income! Labda uwe na policy kama ya Jiwe kuwa tu adopt serendipity policy, anayepona apone anayekufa afe!
 
Uko sahihi sana kwenye issue za matumizi mazuri ya miradi hiyo/sattelites, na ni vizuri kuwa navyo. Concern yangu ni kuwa these undertakings zinatumia pesa nying sana, unless I am less informed of the costs of these projects. Nasema tujiulize, what are our prime needs/priorities za watu wetu ambao tunawatumikia? Watu wetu wana shida za kupata "oxygen" ukiwaambia tunarusha sattelite , watakushangaa.....

Kwa hili siwezi nikakubishia maana sina data za gharama za uendeshaji wa hii miradi, maana muhimu ni kulinganisha gharama tunazoingia kwa kununua data zetu wenyewe dhidi ya gharama za kuendesha vyombo vyetu.

Japo pia inapaswa kuzingatia kwamba satellite za kisasa sio kama zilivyokuwa kitambo, zipo zinaitwa microsatellite na zenye uwezo mkubwa na sio ghali kuziendesha, taaluma ya teknolojia inazidi kubadilika na kuboreka, leo hii una simu mfukoni yenye processing power zaidi mara kumi ya computer iliyotumika kurusha chombo cha kwanza kwenda kwenye mwezi.
 
So vibaya kurusha hivyo vyombo, ila ningewashauri mngekabiliana kwanza na njaa ndio mje kwenye mambo mengine, juzi tu nilikuwa kisumu, watu wanadondoka tu njiani kwa ajili ya njaa.
 
Watu wanakufa njaa mnajiingiza kwenye kutapanya hela, waafrika takataka!
So vibaya kurusha hivyo vyombo, ila ningewashauri mngekabiliana kwanza na njaa ndio mje kwenye mambo mengine,juzi tu nilikuwa kisumu,watu wanadondoka tu njiani kwa ajili ya njaa
Kwani kwa akili zenu finyu hivi vyombo ambavyo vinarushwa angani huwa ni vya anasa au? Vinatumiwa kuboresha maisha, ikiwa ni pamoja na ukulima, usalama, elimu n.k.

Kupitia mbinu za kisayansi, sio ule uKinjekitile wenu wa sijui nyungu season 2 na kuviombea virusi makanisani na misikitini. Sitashangaa kusikia kwamba hadi kwenye karne hii bado mnauziwa data na 'mabeberu' wenu wapendwa, zinazohusu uvamizi wa nzige unaoendelea ndani ya mipaka ya Tz.

Pendeni kusoma kwanza kabla ya kurukia kwenye comment zenu za kipumba. "...The benefits of having satellites in space include selling data collected to other countries.

It also means the availability of quality data for use in making efficient decisions in the fight against climate change, promotion of national security, enhancement of agriculture, learning, identifying areas with minerals through earth observation..."
 
Kwani kwa akili zenu finyu hivi vyombo ambavyo vinarushwa angani huwa ni vya anasa au? Vinatumiwa kuboresha maisha, ikiwa ni pamoja na ukulima, usalama, elimu n.k. Kupitia mbinu za kisayansi, sio ule uKinjekitile wenu wa sijui nyungu season 2 na kuviombea virusi makanisani na misikitini. Sitashangaa kusikia kwamba hadi kwenye karne hii bado mnauziwa data na 'mabeberu' wenu wapendwa, zinazohusu uvamizi wa nzige unaoendelea ndani ya mipaka ya Tz. Pendeni kusoma kwanza kabla ya kurukia kwenye comment zenu za kipumba. "...The benefits of having satellites in space include selling data collected to other countries. It also means the availability of quality data for use in making efficient decisions in the fight against climate change, promotion of national security, enhancement of agriculture, learning, identifying areas with minerals through earth observation..."
Unabwabwaja tu humu,ukimaliza unaenda kupanga foleni na mbakuli wako mkubwa kama ungo upewe mahindi ya msaada.
 
Kwa hapa umeteleza mkuu.

Kwetu huku waziri wa kilimo anasema tuliazima drones kufuatilia nzige walipo kungekuwa na hivyoo vifaa angani vinasaidia mengi.

Mimi nawapongeza Kenya huku kwetu uchagani mtu akifanya kitu chenye maendeleo na faida huwa tunajitaidi kukicopy au kukifanya zaidi.
Umenikanganya kidogo jombaa, eti Wizara ya Kilimo iliazima drones? Drones tu, au unamaanisha ndege?
 
Ikumbukwe tayari tuna chombo angani, na sasa tupo kwenye maandalizi ya kurusha viwili zaidi....
Vyombo angani husaidia sana kwenye kudadavua ardhi kwenye nchi na kubaini uwepo wa raslimali na mengineyo.

The Kenya Space Agency (KSA) is set to launch two mini-rockets from the Malindi Space Centre in collaboration with the University of Rome in August.

The rockets will be launched using high altitude balloons, an improvement of the earlier huge rockets that were being launched in the 1980s and 1990s.

The use of high-altitude balloons as launch pads for mini-rockets and satellites reduces the cost of sending rockets into space, Mr Arwasa said.

He noted that “satellites and rockets have become smaller because of advances in technology.

“We’ve students who are already working on building and launching the two at the Malindi Space Centre. We’re working with the University of Rome.”

The launch was pushed to August after seven professors involved in the project from Rome tested positive for Covid-19.

“We were expecting nine professors from the University of Rome to join us to witness these students launching the mini-rockets, but unfortunately seven tested positive for Covid-19,” Mr Arwasa said.

The benefits of having satellites in space include selling data collected to other countries. It also means the availability of quality data for use in making efficient decisions in the fight against climate change, promotion of national security, enhancement of agriculture, learning, identifying areas with minerals through earth observation.

KSA, Mr Arwasa said, will ensure information is centralised and accessible to all to avoid duplication.

Kenya bado ni nchi masikini sana,,, kunawatu wanakufa njaa kenya, maisha ni magumu sio mfano aisee alaf wanawekeza fweza sehem isiyo na maslai ya wakati.. this' nonsense kwakwel..
 
Unabwabwaja tu humu,ukimaliza unaenda kupanga foleni na mbakuli wako mkubwa kama ungo upewe mahindi ya msaada.
Jina lako limekusaliti, mawazo yako na jina lako ni sambamba. Mtu wa giza hawezi kufurahia nuru, wala hatambui.
 
Back
Top Bottom