joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kenya ‘will no longer comply’ with signed EAC agreement on debt limit
Treasury is borrowing heavily to finance government operations.
Hali ya uchumi wa Kenya inazidi kuwa mbaya kila siku, huku kukiwa na dalili za uwezekano wa nchi ya Kenya kusimamishwa uwanachama wake katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kutokana na kuvuka kiwango cha Madeni kama ilivyokubalika katika sheria na kanuni za EAC.
Habari zilizopatikana toka katika "secretariat" ya Jumuiya ya Afrika mashariki zinasema kwamba, katibu mkuu wa EAC amemuandikia Mwenyekiti wa sasa wa EAC ili amshauri nini cha kufanya baada ya Bunge la Kenya kupiga kura ya kukubaliana na ombi la serikali ya Kenya kupatindisha kikomo cha deni hadi kufikia $90B, ambacho ni zaidi ya kiwango kilichokubalika ndani ya EAC.