Kenya kusimamishwa "membership” EAC kwasababu ya Madeni?

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Hali ya uchumi wa Kenya inazidi kuwa mbaya kila siku, huku kukiwa na dalili za uwezekano wa nchi ya Kenya kusimamishwa uwanachama wake katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kutokana na kuvuka kiwango cha Madeni kama ilivyokubalika katika sheria na kanuni za EAC.

Habari zilizopatikana toka katika "secretariat" ya Jumuiya ya Afrika mashariki zinasema kwamba, katibu mkuu wa EAC amemuandikia Mwenyekiti wa sasa wa EAC ili amshauri nini cha kufanya baada ya Bunge la Kenya kupiga kura ya kukubaliana na ombi la serikali ya Kenya kupatindisha kikomo cha deni hadi kufikia $90B, ambacho ni zaidi ya kiwango kilichokubalika ndani ya EAC.
 
Borrowing to finance the recurrent expenditure.
Kenya baasi sasa.
Wasitafute mchawi, na kuanza kumsingizia D. Ndii. Wachawi ni jubilee, ndiyo wanaoinyonya nchi.
Hawa jamaa ni vichwa maji, wanajifanya wajuaji sana, kila wakishauriwa wao wanajiona wanajua zaidi, ngoja tuone mwisho wao, hili picha la kihindi ndio kwanza linaanza, " Muhudumu, zungusha bia". hahahaha, hahahaha.
 
Hawa jamaa ni vichwa maji, wanajifanya wajuaji sana, kila wakishauriwa wao wanajiona wanajua zaidi, ngoja tuone mwisho wao, hili picha la kihindi ndio kwanza linaanza, " Muhudumu, zungusha bia". hahahaha, hahahaha.

Walianzia kwa kukopa ili kulipa madeni, sasa wameanza kukopa kwa matumizi ya kawaida kama mishahara. The country is heading to the Greece way.
 
Children can`t chase their dad away from the house.
No country has got the guts to chase Kenya away.

Duuu jamaa wana madeni mpaka basi.
Teh te heee.
Halafu hayo madeni, hela wamepiga wajanja. Refer the monies from the EuroBond.
 
We can bet on this, if Kenya got expelled from EAC i`ll give you plus Eakimm 10,000 kenyan shillings each.
Zungumzia hii hali ya kuongezeka kwa deni lenu. Wakati tunafufua EAC, Tanzania, Kenya na Uganda tulikubaliana "debt ceiling" isivuke $50B kwa kila nchi mwanachama, Kenya mlikubali na mkaweka saini, vipi mnapandisha kinyemela bila kuwataarifu wenzenu?.

Kama mlikua na shida ya pesa, kwanini Uhuru Kenyatta asingemuomba "uncle Magu?", sasa Jumuiya gani ambayo sheria haxizingatiwi?. SADC hoyeeeeeeeee.
 
Duuu jamaa wana madeni mpaka basi.
Teh te heee.
Halafu hayo madeni, hela wamepiga wajanja. Refer the monies from the EuroBond.
It`s because of those loans that we have the longest and more quality road network in EA.
It`s because of those loans that we have the highest electricity supply in EA
It`s because of those loans that we earn the highest salaries than all EA states.
It`s because of those loans that we have functioning rail network in EA together with Ethiopia was also a loan.
 
Hahahaha, muongeze Konyagi huyu jamaa.
 
When a father want to do something in the house he shouldn`t ask anybody for permission. Do you understand?
 

😁😂🤣
I could agree if you would say,
because of loan that's why we lead in corruption index.
 
Umeua mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…