Kenya kusimamishwa "membership” EAC kwasababu ya Madeni?

Kwa kodi wanayodai kukusanya na hali mbaya ya uchumi wa Kenya, nadhani Uhuru atakuwa anaiba pesa nyingi sana.
 
Jamaaa unachekesha sana et kwanini asingemuomba anko magu
 
Kumuomba Uncle pesa au? Unatania sio? 😂
 
Debt cieling ya EAC ni kwa minajili ya "East Africa single currency" si kwa minajili ya EAC membership.

Kwahivyo kukosa kufikisha 50% uta affect formation ya single currency not membership. Tz yenyewe imekua ikikiuka Sheria za EAC Kama customs union, no tarrifs on trade ...etc lakini hauwezi ukapoteza membership kwa sababu ya Mambo Kama haya kwasababu it's only one section of EAC intergration, Kuna section zengine kibao ambazo wana cooperate.... Mambo ambayo yanaweza kupotezea membership ni Mambo ambayo yanaweza affect fundermental harmony ya EAC Kama vile nchi kukaa bila bunge kwa zaidi ya miezi nane kwasababu raise dicteta kaamuru serekali yote na bunge livunjwe na majeshi yaongoze nchi, au nchi moja kuvamia nchi nyengine kwa Vita vya kijeshi... Mifano Kama hio ndo Ina qualify kufukuzwa kwa EAC na wanachama wengine manake umekua pariah state (Kama vile Morocco ilivyo poteza membership ya AU)
 
Hahahaha, hili ndio tatizo lenu kubwa, kujifanya wajuaji katika kila jambo. Hujasoma EAC treaty wala vigezo vilicyowekwa na nchi za EAC vinavyoweza kusababishwa nchi kumsimamisha uwanachama, badala yake unazungumza mambo kutoka kichwani mwako ili kuridhisha " your ego". Onyesha wapi umesoma hayo unayozungumza.
 
Si wewe ndo unasema ushaisoma, Sasa mbona unaniuliza Mimi nikuletee EAC treaty?

Leeta hapa hio EAC treaty unionyeshe wapi inasema utapoteza membership kwasababu ya Debt to GDP ratio!


Siku zote, hauwezi kuondolewa katika membership ya uanachama kwasababu za ki technical, unaondolewa kwasababu za fundamental principals, hata tukose kulipa membership fee kwa miaka 20, ofisi na bodi zengine za EAC zitafungwa kwasababu ya ukosefu wa hela lakini hamuwezi kuifukuza Kenya not unless mumeamua liwe liwalo lazima tutoke na Kenya nayo ikubali kujitoa yenyewe...bila hivyo tutabaki ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…