Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
HABARI Rais wa Kenya William Ruto, ametangaza kwamba siku ya kesho ya Februari 14, 2023, itakuwa ni siku maalum ya maombi kitaifa ya kuombea mvua, yatakayofanyika kwenye uwanja wa Nyayo.
Hatua hiyo imekuja kufuatia hali ya ukame na njaa inayoikabili nchi hiyo.
#EastAfricaTV
Hatua hiyo imekuja kufuatia hali ya ukame na njaa inayoikabili nchi hiyo.
#EastAfricaTV