Mimi pamoja na Wabunge wenzangu isipo kuwa Luhaga Mpina ; kwanza nimpongeze mama yetu samia suruhu hasani anavyo shughulikia matatizo yetu tofauti na ndugu zetu wa kenya. Haya majanga pamoja na kupanda kwa bei ya vitu ni matokeo ya vita vya urusi hivyo wananchi wawe watulivu