Tetesi: Kenya kutunga sheria kulazimisha wakenya wote wanao safiri watumie KQ

Tetesi: Kenya kutunga sheria kulazimisha wakenya wote wanao safiri watumie KQ

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,310
Reaction score
7,465
Shirika mfu la KQ Linaendelea kudidimia..Kama walivyo tunga sheria ya kulazimisha mizigo yote iende na SGR..sasa harakati za kulazimisha wasafari wote kutumia KQ zipo kwa majadiliano.

Hivi swali ni, Uzalendo umepotelea wapi? Miundo mbinu hii si niyakwenu? mbona kususia hivi?
Middle income kila mtu anafaa kuwa anatumia ndege kama vile matatu ama daladala..Mnateta bei ghali ndio iweje nyie matajiri?

 
Back
Top Bottom