Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Nov 3, 2022 #1 It's so complicated, kwa mujibu wa BBC, Majeshi ya M23 yanayodhaniwa kufadhiliwa na Rwanda ambayo ni miongoni mwa nchi za EA, Hili limekaaje , na kwanini EA, Isimkaripie Rwanda kuacha kufadhili waasi hawa ambaye ni mwanachama wao.
It's so complicated, kwa mujibu wa BBC, Majeshi ya M23 yanayodhaniwa kufadhiliwa na Rwanda ambayo ni miongoni mwa nchi za EA, Hili limekaaje , na kwanini EA, Isimkaripie Rwanda kuacha kufadhili waasi hawa ambaye ni mwanachama wao.
mgt software JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 13,778 Reaction score 7,145 Dec 23, 2022 #2 Hapa si kama wanapigana na Rwanda?
mgt software JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 13,778 Reaction score 7,145 Dec 26, 2022 #3 Yaani huyu KG hatari mno
SMART GHOST JF-Expert Member Joined Feb 3, 2020 Posts 2,657 Reaction score 10,356 Dec 26, 2022 #4 Unadhani watu dizaini ya Kagame wanaogopa kukaripiwa? Kichapo ndio dawa pekee. Watandikwe hao waasi, alafu atakaelalamika au kuwatetea ndio akaripiwe!
Unadhani watu dizaini ya Kagame wanaogopa kukaripiwa? Kichapo ndio dawa pekee. Watandikwe hao waasi, alafu atakaelalamika au kuwatetea ndio akaripiwe!